Unaweza kuomba chuo moja kwa moja

Unaweza kuomba chuo moja kwa moja

Hilo linawezekana ila lazima ukidhi vigezo husika,maana hcho chuo kitahitajika kipeleke taarifa zako TCU

Vigezo vya ufaulu ninavyo. Sema kuna tatizo moja,kuna kozi ya Computer science nataka kuomba. Ila kwa mfumo wa TCU wanalazimisha niwe nimesoma physics kwa UDSM...
 
Back
Top Bottom