silent_soldier
Senior Member
- Aug 10, 2015
- 193
- 62
Habarini wa JF
Mimi ni mmoja wa wakereketwa wa Elimu. Nimemaliza kidato cha 6 mwaka 2014, nilipata DIV III.10
Nilikosa 1st Application mwaka 2014 and kwa kuwa nilikuwa msange JKT 823KJ niliporudi nilichelewa kufanya 2nd round application. Kwa kuwa nina ndoto ya kuwa daktari sikuwa na jinsi kwenye list ya vyuo vya afya kilibaki KIU. Hivyo nikawa admitted at Kampala Inter. University academic year 2014/2015.
Baadae kabla ya kwenda KIU nikajaribu kufanya Transfer. TCU wakakataa my recommendation lettler pamoja na letter ya approval from HKMU. Baadae TCU wakazuia Transfer kwa watu wanaoomba Transfer ya kozi Moja kwenda Kozi hiyohiyo chuo kingine
Hivyo Transfer yangu ya MD from KIU to MD at HKMU was not approved.
Sasa nawashauri wale mnaosema at mnasubiri Transfer mwaka huu, acheni kuota Transfer sio rahisi kihivyo mnavyofikiri. Kabla hujafanya jambo jaribu kuomba ushauri kwa watu wenye ufahamu.
Well baada ya matatizo ya KIU mapema July 2015 niliacha chuo nika reapply mwaka huu ambapo kwa bahati mbaya nilikosa 1st selection. Nimefanya reapply kwenda St. Joseph College Of Health and Allied Science ambacho ni kipya kabisa na kipo Boko Jijini Dar es salaam.
Nawashangaa wale mnaoanza kuwa ambia watu St. Joe kibaya!!! Msikariri kuwa Samaki mmoja akioza niwote. Kabla sija apply chuo hiki kipya tayari nikiwa KIU nilienda kuomba wanipokee kwa Transfer, nimeshafika nimepata hadi nafasi ya kwende Anatomy Lab...
Hawa mnaowasema at wanatumia Mtaala wa kihindi, wamejipanga na hawatatumia Huo mtaala. Mtaala watakao tumia ni ule wa NACTE na TCU chini ya wizara ya Elimu.
Msitukatishe tamaa tunaoenda St. Joseph mpya ya Boko at kisa nyie waalimu yaliwakuta huko Arusha. Hilo sio Jambo zuri hata kidogo.
Nikuulize wewe kama unataka Medicine na ukaambiwa uchague hivi vyuo utachagua kipi?
1. KIU
2. IMTU
3. SJCHS (ST. JOSEPH BOKO)
Hakuna kitu kibaya kama kukariri na kubeza kwa kufuata mkumbo. Fanya maamuzi yenye kuleta tija. Kwa wale wenye ndoto za kuwa Madaktari karibuni tutakutana St. Joseph Mungi akipenda.
Lakini usikae kujidanganya at TRANSFER ITAKUSAIDIA!!!
NI HAYO TU silent_soldier

Last edited by a moderator: