Msaada

st kayumba pro

Senior Member
Jul 11, 2015
174
21
💢MSAADA💢
Jamani mnakifahamu chuo kinaitwa JOSIAH KIIBIRA UNIVERSITY COLLEDGE

naomba SIFA na TABIA za chuo hiki! Kuna mtu amejichqnganya kajaza chuo hiki!
Kwa course ya B. Sc Education
 
Kajichanganya,?Kwa taarifa yako Chuo cha Josiah kibira ni Tawi la Tumaini makumira,chuo kipo manispaa ya Bukoba mkoa kagera.

Ni chuo kizuri kimuonekano,hali ya hewa ni ya kawaida,Elimu wanayo deleiver ni nzuri hasa fani ya ualimu..Nimefanya kazi bukoba so nakijua hiko chuo vizuri..I asure you utaenjoy kuwepo pale..kama unapenda.BATA ni nyumbani kwani chuo kipo town kabisa..Uliza swali kama unalo
 
Back
Top Bottom