moghasa
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 1,084
- 1,254
wakuu umofia kwenu!!
Nina mdogo wangu kachaguliwa kagango sek. huko Kagera! kama machaguo ya pili!! sasa naona akisubir barua ya kujiunga atachelewa!!
Naomba mwenye kujua mahitaji muhimu ya kwenda nayo hiyo shule anambie tafadhar!!
Naomba kuwasilisha!!
cc. kabaka mtesa

Last edited by a moderator: