IlangiKwetu
Member
- Oct 9, 2014
- 85
- 33
Heshima mbele wadau,
Naombeni msaada katika hili.
Nina Shangazi yangu amestaafu kazi ya ualimu mwaka January 2010 katika Manispaa ya Ilala, Mpaka sasa anafuatilia mafao yake,
Hatua tuliyofikia mpaka sasa ni kwamba.
Tume ya utumishi wa walimu (TSD) pale Ubungo Plaza wameitaji SALARY SLIP ya Januari na February 1995. Ambayo kwa hali ya kawaida ni ngumu kuwa nayo kutokana na mazingira tunayoishi ni ya kuhamahama na hatuna desturi ya kutunza kumbukumbu,
Tumekwenda Hazina Dar es Salaam wamesema ni ngumu kuipata labda kwa aliyekuwa mwajiri wake wa wakati huo (1995) yaani katibu mkuu wa wizara ya elimu. Tumefanikiwa kufika tumepewa jibu hilohilo kuwa ni Salary slip ya nyuma sana hazimo kwenye mfumo wa komputa.
Naomba ushauri wadau katika hili maake toka Shangazi kastaafu mwa 2010 Januari ni muda sasa.
Tunazipataje hizo salary slip au njia gani mbadala wa kuzipata hizo
Aksante sana.