Msaada: nataka kusomea MD (udaktari)

Msaada: nataka kusomea MD (udaktari)

MwanaSaikolojia

Senior Member
Joined
Jan 9, 2015
Posts
197
Reaction score
62
Habari zenu wakuu.. Nlikua naomba msaada kama kuna anaejua mambo ya scholarship ya udaktari nk... Nme apply tcu wamenitema.
Nmepata credit ya gpa 2.3
biology B+
Chemistry C
Physics D
Bam B
Gs C
 
Ulifanya vzur mtihani but kwa competition iliyopo hauwez pata md jarib kuomba lab,mionzi au nurse zote ni kozi nzr kwa afya na zinalipa...kuhus schorship chek webpage zao mkuuu
 
jaribu kuomb udom md au kcmc kuna.chance wameongeza but znaweza kuwa na ushindani
 
daah mkulu ametuharibia elimu yetu sana enzi zetu hyo ilikuwa 4 kabisa yaan ww unaenda dploma ya ualimu ila sasahv mnataka udoctor???
 
Gs C, eeeh kumbe sahivi sisi ilikuwa hata upate 100% ni S tu wote ukifeli ni F yaan siku hizi jaman mna raha
 
Utaiweza shule?Maana usijeenda then ukasema haukujua

Break itaanzia Anatomy na Biochem.
 
Habari zenu wakuu.. Nlikua naomba msaada kama kuna anaejua mambo ya scholarship ya udaktari nk... Nme apply tcu wamenitema.
Nmepata credit ya gpa 2.3
biology B+
Chemistry C
Physics D
Bam B
Gs C

jaribu kuomba KIU na st Joseph,,,
 
Kwanza,kuomba kwa mwaka huu haiwezekani..pili kwani matokeo mbona yalitoka siku nyingi,wewe ilikuwaje hukuapply?

Ukishaingia TCU/CAS utaona kila chuo kina minimum entry requirements,kisha utajipima,kama inatosha utaapply..ila hiyo sasa ni mpaka mwakani dogo.

Hebu check hapa ujipime uone kama unatosha.
 
hapana,,, anaweza Fanya reapplication 2nd round,,,
Nafasi zipo Kiu, st Joseph, udsm, cuhas,,,, vyuo vimeongeza capacity,
Deadline tar 30 sept,,,
 
Back
Top Bottom