Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

mwisho wa kuapload qulification ni 25.09.2015 saa 11.59pm xo be care for missing applicant!!.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
1.Vp wakuu mbona mimi cas-tcu inagona kufunguka? Naomb na wengne tujarbu tuone au ni kwangu tu? 2.Official waliochaguliwa udsm majina yametoka katika web yao yaani www.udsm.ac.tz
1 Reactions
23 Replies
7K Views
Wakuu kuna jamaa kanipigia cm,amenambia.. "umechaguliwa kujiunga na chuo cha mipango dodoma upo tayar kuja dodoma",nlikua nauliza iv kuna chalii yoyote humu ameomba ik chuo na ameshapigiwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habar wana jamvi nahitahi msaada kuhusu st Joseph university iliopo Dar
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Ndugu,kwa yeyote mwenye kufaham namna ya kupata sponsor hapa Tanzania (hasa) au nje au kampuni yeyote yenye kutoa huduma hiyo..... ........ KARIBU TAFADHALI............
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Kwa anaeyeifahamu link/adress/website etc, inayoonyesha matokeo ya kidato cha pili, tafadhali tunaomba atusaidie.
0 Reactions
23 Replies
67K Views
Hali zenu. Nitapata wapi Mtaalam wa (Fear of Public Speaking) ( Fear of People) (Fear of unknown) (Fear of eye Contact) Pls kwa yoyote anaejua nitampata wapi mtaalam wa mambo hayo usisite...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Kumekuwa na form v 2nd selectin hatukuchukuliwa mungu c athuman 3rd selctin zmetoka 2meachwa hvi tamisem ina2fikiriaje wakt 2na vgezo vyote vya kwenda advance mm nna credt 1.6gpa maon yenu wakuu...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
NDUGU naomba mnisaidie KWENYE HILI. Kwa BAJETI ya MILIONI 12 TSHS. NAWEZA KUSOMA MASTER YA MASS COMMUNICATION Ulaya? Ikiwa ni gharama ya Nauli ya kwenda, Ada, Malazi Na maHITAJI ya Darasani? Na...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Wakuu kwenye profile yangu nimekuta deadline imeongezwa mpaka trh 16/10 huko kwenu vp na mnalichukuliaje hilo swala?
1 Reactions
33 Replies
5K Views
Naomba ushauri mimi ni mtumishi niliyepata kibali cha uhamisho wa kubadilishana ila mwenzangu alighairi kuja hivyo ofisi yangu ikakataa kunifungashia taarifa zangu za kiutumishi hadi sasa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu kuna uwezekano wa mtu kuhama shule ya serikali kwenda nyingine ya serikali kama yuko kidato cha tano muhula wa kwanza? Na kama inawezekana ni process gani zinafuatwa? Nitashukuru kwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Naomba kujua Kama tcu wametoa majina ya waliochaguliwa kujiunga na vyuo vikuu
0 Reactions
2 Replies
1K Views
naitwa peter, natafuta kazi upande wa pharmacy, uzoefu na ujuzi ninao wa kutosha sana, najua vizuri sana na kila kitu kinachohusu pharmacy, nipigie simu namba hii +255719902822
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Vibali vya uhamisho TAMISEMI, Wadau mliofanikisha kupata nafasi za kuhamia maeneo mliyo omba, ni lini vibali vinatoka? kuna exact date wanatoa vibali au hadi katibu mkuu awe free? Msaada tafadhali
1 Reactions
113 Replies
40K Views
Jamani kwa wale waliochagulia kam college kwa course yoyote mwaka wa masomo 2015/2016 naomba tupate kujuana jama
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu naomba mnisaidie kunipa details juu ya chuo tajwa vp ni kizuri kitaaluma? Na je ada zake zikoje kwa clinical officer?
0 Reactions
0 Replies
3K Views
jaman naomba kuuliza,niliapply ordinary diploma ya ualimu kupitia nacte,vip wameshatoa majina waliochaguliwa?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mwl Jenipher wa Irikisongo sec Arusha anatafuta mwl wa kubadilishana nae anefanya kazi mwanza ili yeye aje mwanza na uyo mwl aende Arusha piga 0769250246 kumpata
0 Reactions
0 Replies
748 Views
Kuna Tetesi Kua Mishahara Ya Walimu Itaongezwa Mwezi Huu Na JK.Je Wadau Kuna Ukweli??
0 Reactions
106 Replies
14K Views
Back
Top Bottom