hangahanga
Senior Member
- Feb 9, 2015
- 128
- 6
mwisho wa kuapload qulification ni 25.09.2015 saa 11.59pm xo be care for missing applicant!!.
Naomba uliza hivi mtu ana D3 na diploma ana gpa 3.1 kuna uwezekano wa kukosa chuo?
Naomba uliza hivi mtu ana D3 na diploma ana gpa 3.1 kuna uwezekano wa kukosa chuo?
huwez kosa asilani kama umeomba vyuo vya kawaida visivyo na ushindani watu wana 2.5 di 3 wanaingia mwaka wa 2. kikubwa na A level uwe na principal 2 andaa tu ada maana kupata mkopo itakuwa 10/100 waliomaliza form 6 zaidi ya miaka 2 ilopita