Ndg zangu poleni kwa mihangahiko ya hapa na pale.
Kwa wale tunaotafuta kazi au jinsi ya kuishi kwa manufaa ya elimu tuliyopata, fungua link hii hapa chini ujisajiri na kuwa miongoni mwa...
Leo TCU walikuwa na kikao na vyuo vikuu vyote tanzania wakijadili kuhusiana na zoez zima la udahili kwa mwaka huu na wamekubaliana na wamerasimisha leo kwamba sasa vyuo vinaweza kutangaza majina...
Hatimae chuo kikuu cha dar es salaam chatoa taarifa kuwaruhusu wale wote waliochaguliwa kusoma course mbalimbali pale mlimani kuwa wataruhusiwa kubadili course zao walizochaguliwa kutokana na...
Breaking news!!!!!!! Jamani hili in LA muhimu sana sana, : kwa wanafunzi waliomaliza kidato cha NNE 2014 ambao hawakuchaguliwa kwenda advanced level waingie kwenye website ya CHUO kikuu cha Dodoma...
Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) linapenda kuwaarifu wote walioomba kujiunga na kozi mbalimbali za afya kwa ngazi ya Cheti (Astashahada) na Diploma (Stashahada) kupitia Mfumo wa Udahili...
TUNAWEZA learning centre tunatoa huduma ya kujifunza kiingereza (English course ) kwa watu wazima.
Tunapatikana Mbezi Africana na muda wa masomo ni jioni saa 11 mpaka saa 1, kuanzia jumatatu...
jamani naombeni mnijuze lolote kuhusu hii shule ya serikali ya kipaji yani kwa yeyote aleisoma au bado anaisoma au anaijua vizuri hii shule yani kuhusu mazingira(umeme,chakula,ufundishaji na...
habari wanajamii forum...mimi nimechaguliwa scholarship ya algeria maths $ computer eng..na pia nimechaguliwa civil eng udism....naombeni mnishauri wapy pa kwenda na kwanni??,,,much love.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.