Elimu nchi za Ulaya

Elimu nchi za Ulaya

Akademician

Senior Member
Joined
May 20, 2015
Posts
143
Reaction score
36
NDUGU naomba mnisaidie KWENYE HILI.

Kwa BAJETI ya MILIONI 12 TSHS. NAWEZA KUSOMA MASTER YA MASS COMMUNICATION Ulaya?

Ikiwa ni gharama ya Nauli ya kwenda, Ada, Malazi Na maHITAJI ya Darasani?

Na ni NCHI GANI YAWEZA KUWA Na gharama nafuu?

Karibuni.
 
Hiyo TZS 12M ni sawa na Kama USD 6K yaani hata semister moja haitoshi. Endelea kuzikusanya!.
 
fanya ustarabu wa scholarship ndugu kujisiomesha huko majuu ni kaz sana. wengne wanapga kaz ngumu mno ndo wanatoka jipange ndg
 
12m tshs haitoshi kwa ulaya kwa sababu living expenses zipo juu sana. Labda upate scholarship. Au usome Germany ambapo hata international students wanasoma bure so hiyo 12m itakutosha.-Sehemu ya ulaya ambayo unaweza kupata ada nafuu ni North Cyprus. Hiyo nchi inategemea kipato chake kutoka kwenye elimu so ada zao ni za kuvutia. Ukitaka kusaidiwa kuapply nenda global education placement pale raha towers watakusaidia hata kupata scholarships ukiwaeleza situation yako.
 
NDUGU naomba mnisaidie KWENYE HILI.

Kwa BAJETI ya MILIONI 12 TSHS. NAWEZA KUSOMA MASTER YA MASS COMMUNICATION Ulaya?

Ikiwa ni gharama ya Nauli ya kwenda, Ada, Malazi Na maHITAJI ya Darasani?

Na ni NCHI GANI YAWEZA KUWA Na gharama nafuu?

Karibuni.

Hiyo Pesa ni kwa ajili ya Masters UDSM Siyo Ulaya hata nauli tuu kama London ni 2M kwenda na kurudi
 
Back
Top Bottom