________________________________________
Mkuu wa Chuo Kikuu cha SAUT Songea (AJUCO) anatangaza nafasi za masomo kwa Mwaka 2015/2016 katika kozi zifuatazo:
1.POSTGRADUATE PROGRAMMES
Master of Arts...
Siku zote napenda kuwa lab.technician na ndio malengo yangu maana naipenda toka moyoni sasa tatizo linakuja katika kutimiza malengo yangu
Nimemaliza kidato cha nne (credit 1.9) sikuchaguliwa...
FORM FOUR (CSEE) - PAST PAPERS - Biology (Revision Made Simple)
The expectation of these learning materials is to provide a base of knowledge that each student will have by the time they come...
Chuo ni kipya kipo boko (na hakina hostel zake ) hivyo naomba mwenye kufaham upatikanaji wa private hostel nzuri karibu na chuo hicho naomba anifahamishe hapa .maana wengine ni wageni hapo jijini.
Dear, become a competent GIS Analyst, Developer, Programmer, Manager or User. Join Master of Science in Geographical Information Systems (MSc. GIS), which is new in Tanzania. It is 18 months-...
Napenda kuulizia utaratibu wa usomaji kwa masomo ya practical unakuwaje kwani ninapenda kusoma UWALIMU teachings subjects ni Physics na Mathematics.
Pia kipindi cha mtihani kwa somo la practical...
Habari wanajamii, Naomba kama kuna mtu yeyote ana taarifa kuhusu kutoka kwa majib ya scholarship za sultanet of oman tulioaply toka tareh 11 mwezi wa 8 kupitia wizara ya elimu.
Nikiwa miongoni mwa wanafunzi ambao wameathiriwa na mfumo wa elimu ya Tanzania natamani kushare nanyi wanaforum juu ya ugumu waelimu hii utakanao na mfumo.
Kuna mengi sana ambayo kwa mtaamo wangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.