TANGAZO MAALUM: Chuo cha Kampala International University kilichopo hapa Dar es salaam-Gongolamboto kinapenda kuwatangazia nafasi za masomo kwa watu wote walio maliza kidato cha nne, kidato cha...
Ebwana eee..kuna kamdogo wng mmoja amekosa first round....so 2nd round katika tizama tizama za vyo nikakikuta ik cho...so mwenye taarifa zozote kuhusiana na ik anijuze wakuu...coz tyt nimekwisha...
daa kwa hili NACTE wanatakiwa kupongezwa kwa majukumu mazito
kumbukeni Application bado zinaendelea,
wanafanya udahili wa vyuo vya kati diploma na certificate na degree!!.TUWAPONGEZE NA TUWAPEE...
Jamani mm naomba niulize je inawezekanaje baadhi MAJINA ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na vyuo vikuu kwa mwaka wa masomo 2015/16 na yasionekane katka website ya TCU na vyuo husika nina...
Ndug wana JF husika na title hapo juu;
Kwa yeyote mwenye kujua bei za MEDICAL EQUIPMENT sifuatazo anijulishe: Please kuwa na uhakika na bei unayoitaja:
1)Stethoscope
2)BP machine
3)hummer...
Habari wana-JF!
Natumai mko vema. Ninataka kufanya utfiti fulani kuhusu masuala ya manunuzi y umma (Public Procurement) nchini, sasa nilikua nahitaji kitabu kizuri kinachoelezea namna ya kufanya...
Wadau.. Heshima kwenu wote.
TCU imeachia Batch ya pili kwa walioomba kuapply upya. kusoma list ya majina hebu soma hapa http://www.tcu.go.tz/images/pdf/Tangazo%20waombaji%20wapya.pdf au hapa...
wakuu naombeni kuuliza hivi wale walikuwa wanasoma unesi mpaka sasa hawajaajiliwa wamekosa sifa au unakuweje kwasababu kuna ndugu Yang kamaliza mwaka Jana mpaka saizi ajachaguliwa na kaaply Mara...
Wakuu naomba mwenye uwezo wa kunisaidia joining instruction ngazi ya stashahada (Diploma) ya chuo chochote cha ualimu nchini ya mwaka huu 2015/2016 naomba msaada huo tafadhali.
Source: Ajira Tanzania | Nafasi za kazi na Tenda
For more info: Email the British Council Tanzania office
Commonwealth Scholarships for Masters and PhD study in the UK are offered for citizens...
.. Kumekuwaaa na sintofahamu ya kwa nin selection za vyuo zimechelewa mwaka huu., jibu ni Kwamba selection za vyuo zitatoka Mwanzoni mwa Mwezi wa kumi na selection za wadahiliwa wa mikopo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.