Kama umeaply saut cheki na link hyo hapo ujue umepata au la
http://www.saut.ac.tz/index2.php/new-students-selected-to-join-saut-main-campus-mwanza-for-the-20152016-academic-year/
Ndugu wana JF nimechaguliwa Ordinary Diploma chuo cha M.U.S.T (Mbeya University of Science and Technology) ila nimepata utata kwa tarehe ya kufungua chuo kwa sababu kwenye calendar wameandika ni...
Habari wanabodi.
Nipo Arusha kwa muda na majukumu hayaendelei vizuri sana kutokana na shida ya umeme. Nimeona nitumie muda wa ziada unaopatikana kwa kujifunza. Hivyo, naomba kujuzwa chuo...
Nmechaguliwa chuo cha maji,ubungo mwaka huu koz ni diploma of water supply and sanitation engineering,niambieni mambo ya kujua kuhusu chuo na jinsi ya kupata hostel, thanks!
HABARI ZA KAZI WAALIMU...JAMANI NAOMBA KUULIZA KWA SISI WA AJIRA MPYA 2015 TULIOKUA TUNAKOSA MISHAHARA MIEZI ILIOPITA UTARATIBU UPOJE??mfano mimi Tangu tuajiriwe mwezi May ndio nmekuja kupata...
Shule hii ya wasichana waalimu wake wamekuwa wakitumia muda mwingi kufanya kazi za mikono badala ya kusoma, wanafunzi wanapohitaji kujisomea hawapewi muda zaidi ya ule wa saa moja jioni hadi saa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.