Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

naomba kwa anayefahamu anijuze..hivi tcu ndyo upeleka majina loan board au majina yanapelekwa chuo husika then chuo ndyo kinayapeleka loan board??? ahsanten
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nina kipawa katika maswala ya hesabu aswa kidarasani pia ata kwenye maisha ya kawaida..KIUKWELI HESABU IPO VIZURI KICHWANI..niliitimu kidato cha nne ...nmekuja kwenu kuomba msaada wa ushauli kipi...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Hongera kwa mliochaguliwa na Masomo mema http://www.kiu.ac.tz
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Wadau tafadhari ningependa kusaidiwa juu ya siku ya kuripot chuo 1st year
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Transfer
0 Reactions
4 Replies
1K Views
mwenye kujua anijuze vigezo vya kujiunga kusomea diploma ya ualimu udom kwa aliyemaliza form four. karibuni.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Iv mkopo asilimia mia moja ni kama shingap nimeambiwa n million tatu na laki moja n kweli au
1 Reactions
38 Replies
7K Views
Poleni na majukumu walimu, najua kazi yenu ni ngumu sana kumfundisha mtoto namna ya kushika penseli hadi kuja kujua kusoma sio swala dogo, hapo ndipo msingi wa elimu ulipo kama msingi utakosewa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Waliochaguliwa program hii Udom 2kutane hapa tujadili mambo yanayotuhusu
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Waliochaguliwa program hii Udom 2kutane hapa
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna rafiki yangu mpk leo hajaona jina lake ilhali kila chuo alichoomba majina yametoka FIRST n SECOND selection sasa inakuwaje hapo jamaaaaaniiii naomba mwongozoo maaana amekata tamaa
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu anaefaham hii kitu anifahamishe naona tcu wanansokota tu..wamenambia nimeshachaguliwa moja ya vyuo nilivyoomba..lkn naona kila chuo kikitoa majina cmo...ni vp hii? Au ndo wengine hatuna zarii
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Hongereni kwa kuchaguliwa "The White University" Nawashauri hivi:- 1. Yapo makampuni ya mabasi yatawataka mlipe pesa benki ili yawasafirishe hadi UDOM- Kataa kwani watakupiga hela halafu safari...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
kwa wale mlokua wazoefu na hii course tunaomb maelekezo udom
0 Reactions
3 Replies
914 Views
...msaada please kuhusu Bachelor in Education with ICT... kazi ni zip baada ya koz? ajira huwa zatoka serikalini? je hupangwa katika collages au secondar schools? market vip?
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Hapo zaman enzi za ujima na utawala wa CCM vijana wengi tulikuwa tunabagua vyuo na course, utasikia mtu anakwambia mimi vyuo vya kusoma ni UDSM MZUMBE na Ardhi tu! mentality hizi za ubaguzi wa...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwa first year mlochaguo course yatima yaani course zisizo kuwa na ajira ushauri wang kwenu kuanzia sasa piganeni hakikisheni Lowassa na ukawa wanaingia ikulu otherwise mtajuta kusoma chuo kikuu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwenye pc au simu yenye uwezo wa kuyasoma majina anisaidie kuniangalizia langu.. Naomba
0 Reactions
8 Replies
2K Views
MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA SHAHADA YA KWANZA NA YA PILI (UZAMILI) KATIKA CHUO KIKUU CHA SOKOINE CHA KILIMO HAYA HAPA SEKTA YA MIFUGO TANZANIA: MAJINA YA WANAFUNZI...
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Back
Top Bottom