Lowassa mkombozi wa course yatima!!

Lowassa mkombozi wa course yatima!!

nyigo Jn.

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2015
Posts
269
Reaction score
96
Kwa first year mlochaguo course yatima yaani course zisizo kuwa na ajira ushauri wang kwenu kuanzia sasa piganeni hakikisheni Lowassa na ukawa wanaingia ikulu otherwise mtajuta kusoma chuo kikuu wadogo zangu!!
 
well said brother bado wengine wanafurahia kuchaguliwa ila loan body wakitema mtaiona tz chungu cha msingi mpigie el kura yako na shawishi mzazi ili chuo msome bure otherwise kuna watakao enda na watakao baki nyumbani aminini nawaambia inauma sanaaa muulize yeyote ilo mtokea.Elimu NI hali ya kila mtu ila kwa tz hususan ngazi za juu NI kulazimishianaa maana wapo watu wamekwepa kuomba koz muhimu kwa sababu ya mkopo.na bado sikuiz zile za priority kozi nazo NI probability,unaweza pewa ada lakin ukapata laki1 ama wengine wanapewa mpaka2000 mwisho wa siku boom lote unalipia ada kama Mimi na engineering yangu,pia unaweza kufata mkopo kwa koz fulan lakin ukakosa hamu ya kusoma kwa kozi hyooo na mwisho unadisco ama kuacha kusoma kabsa hivyo muhimu sana kufanya maamuzi sahihi ndani ya sanduku la kura.
 
Back
Top Bottom