amahan wakuu nimechaguliwa coz ambayo ni non
priorty UDOM (BED-AME) Sina mzazi mmoja na
mwingine ni mlemavu hivi mkopo nitapata kweli???
naomba kwa anayefahamu anijuze..hivi tcu ndyo upeleka majina loan board au majina yanapelekwa chuo husika then chuo ndyo kinayapeleka loan board??? ahsanten