Anaefaham hii (BED-ICT)

Anaefaham hii (BED-ICT)

SilverRays

Member
Joined
Sep 27, 2015
Posts
50
Reaction score
4
...msaada please kuhusu Bachelor in Education with ICT... kazi ni zip baada ya koz?
ajira huwa zatoka serikalini? je hupangwa katika collages au secondar schools? market vip?
 
Bachelor of education.... Hiyo ni ualimu
 
Dogo nenda kasome, yote uliyosema yanawezekana unaweza ajiriwa popote ikiwa utafanya vizuri. Nikushauri tuu focus kuwa potential katika field yako acha mambo ya market haitasaidika kama wewe mwenyewe ni mbulula. Una gpa 2.6 na iyo course unategemea nin? Narudia tena nenda kasome hakikisha unatoka na gpa ya 4.8 vyote ulivyovitaja utaviona kwa wakati mmoja. Kazi kwako
 
Huu ni ualum wa ICT sio?
 
nachofahamu mm ni kuwa ukiona coz yoyote imeandikwa education ujue huo ni ualimu moja kwa moja
 
Nimehitimu mwaka jana BEDICT udom sasa ni mwalimu wa Ict intake mpya. Hio ni course ya ualimu wa kama ilivyo BAED NA BED.
 
umepangiwa sec school au collage!

Secondary school. Kipangwa haichagui unaweza kupangwa primary, secondary college, au ukaomba hata university uwe tutorial assistance. Kwa ufupi hata usome course gani ya ualimu utakua mwalimu tu. Hata usome bed nini sijui BED-RAIS hautakua rais bali utakua mwalimu tu asikudanganye mtu
 
...msaada please kuhusu Bachelor in Education with ICT... kazi ni zip baada ya koz?
ajira huwa zatoka serikalini? je hupangwa katika collages au secondar schools? market vip?

Tulipokuwa chuoni tuliopangiwa college za sayansi na engeeniering tulijiona tumemaliza kila kitu tukawadhalau sana walimu trust me kati ya watu waliomaliza chuo wengi ni madaktari,walimu ndio wenye uhakika wa ajira 100% wengine wamekuwa wakipiga temple nakubangaiza sasa watu wako kazini na wanasoma masterz za MBA na ajira mkononi...wao bado ajira ngumu na umri umekwenda..trust me ukiwa ujaingia chuo kuna wajuaji wengi ila hawajui soko la ajira lilivyo...nenda kasome alafu dogo utakuja niambia.
 
Umenena mkuu. Kwa Tanzania yetu na hali ya familia zetu nawashauri vijana wenzangu wakimbilie kusoma course zenye ajira. Na ualimu ndo kimbilio letu
 
Nimehitimu mwaka jana BEDICT udom sasa ni mwalimu wa Ict intake mpya. Hio ni course ya ualimu wa kama ilivyo BAED NA BED.

kuna mtu nilisikia ananiambia pia ipo ya "physics na IT" ni kwel bro?
 
Siyo kweli ila ukipangiwa BEDICT Unajichagulia somo lako moja km ni physics au maths au biology au chemistry au geography unaisoma pamoja na ICT.
Kwa kifupi unatakiwa uwe na masomo mawili ya kufundishia ICT ikiwemo ndani yake.
kama una usongo na IT zaidi una opt baadhi ya course katika college ya informatics. Hii college ipo karibu na college ya education na nauli ni 800 tu kwenda na kurudi.
 
vp kwa DUCE hii kitu ipo(BED-ICT).
 
Tumekusoma
 
...msaada please kuhusu Bachelor in Education with ICT... kazi ni zip baada ya koz?
ajira huwa zatoka serikalini? je hupangwa katika collages au secondar schools? market vip?

Nduh huo ni ualimu pure ajira utapewa na serikali hata bila shaka

Tena ktk ajira yako unaweza pelekwa shule ambayo hata maana ya ICT hawjui na ukafundisha masomo ya kawaida kwasababu wakat unaisoma hyo course lazima utsoma na teaching subject
 
Back
Top Bottom