Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Hiki chuo kimefungiwa au Tumesubili selection zao mpaka tumechoka
0 Reactions
0 Replies
927 Views
Habar wadau humu ndani...mi nlikua naitaji kujua kuhusu post za MUST 2015/2016 zinatoka lini au mwenye nazo anicheki mi naitwa hamadi hamisi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
wadau wangu wa elimu ya tanzania nimekuwa nikipokea maoni mengi ya vijana wengi waliomaliza form six wananiuliza ni kozi gani nzuli inalipa na wengine wakiniuliza nikasome kozi gani ila swali...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habarini wadau, vp naulizia kuhusu selection za SUA degree 2015/2016 kama unajua wametoa, tafadhari nijuzi ahsante
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wandugu, napenda kuuliza kwa wasomi mliotutangulia,3rd round ilishatokea kwa kipindi cha nyuma? na kama kuna 3rd round bodi ya mikopo watatoa lini kwa wenye uzoefu wa haya masuala?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
mimi nimechaguliwa kidato cha tano katika shule ya kimamba iliyopo kilosa uko morogoro lakini kutokana na hali ya kiuchumi sikuweza kusoma tuition na nimechaguliwa mchepuo wa PCB je naweza kupata...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Niulize chote kukusu vyuo vikuu vya afya, ada na kozi zake
0 Reactions
30 Replies
7K Views
Wadau..nahitaji msaada plz, vyuo nilivyo taja hapo, wameshatoa majina..?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
hi guys naomben kuuliza hivi vyuo vipi vipo ktk market katk faculty ya sheria
0 Reactions
8 Replies
1K Views
jaman samahan naomba msaada wa list znazochukua muda mfupi kusoma na naweza kupata angalau ajira kwasababu nasikiaga 2 procurement and supply lakn cjui ukisoma utapata kaz gan naombenisaada jaman
0 Reactions
0 Replies
782 Views
Kwa yeyote mwenye kujua hiki chuo kuhusu ada na mahali kilipo naomba anijuze kwa sababu vipo viwili kuna kimara kinatoa kozi ya ualimu wa primary na kingine kipo ilala. Kwaiyo me nataka hicho cha...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Vyuo nilivyoomba wameshatoa majina yao Mimi simo, Profile yangu sijaambiwa kama niombe tena sasa Niwaeleweje hawa NACTE Naomba msaada kwa anaeelewa chochote...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Mimi ni muhitiku kutoka chuo kikuu cha Dar es salaam (Ba.Sc.Edu) nafundisha Fizikia na Hesabu. Natafuta ajira sehemu yoyote ndani au karibu na Dar es salaam. Mawasiliano ni 0717115244 au 0788044006.
0 Reactions
0 Replies
730 Views
Course hizi wanasoma wenye masomo gani? Bachelor of science with education Na Bachelor of science in education
0 Reactions
4 Replies
1K Views
udsm wameshatoa majina ya undergraduate stiudents,, inakuaje kwa sisi tuliaochagua 2round mfano mm nmechagua 1.civil and 2.mining hapo udsm,, nisaidieni wadau
0 Reactions
40 Replies
6K Views
Hivi AJUCO na SFUCHAS wanatoa majina lini?
0 Reactions
2 Replies
712 Views
EBENEZA MUSIC TRAINING CENTRE (EMTC) Mobile: +255 752 268 396 P. O. Box 10, Itigi E-mail:ebenezamusictraining@yahoo.com +255 787 895 473 TANZANIA...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Fuata link hii chini kupata details jinsi ya kusoma ONLINE BUREE, wakat huohuo unavuta mkwanja kwa mwezi http://jobrize.com/index.php?ref=413804
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habarini wadau, vp naulizia kuhusu selection za SUA degree 2015/2016 kama unajua wametoa, tafadhari nijuzi ahsante
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom