Ally Msafi
Member
- Sep 25, 2015
- 23
- 0
Mwenye pc au simu yenye uwezo wa kuyasoma majina anisaidie kuniangalizia langu.. Naomba
Mwenye pc au simu yenye uwezo wa kuyasoma majina anisaidie kuniangalizia langu.. Naomba
https://ifm.ac.tz/documents/adverts/2015 BACHELOR DEGREEE FIRST BATCH.pdf
Hiyo link haipo ndug, haifunguki
Jina ni Ally Said
nimeomba koz ya Bachelor of science in Information Technology na Bachelor of computer science Mkuu
jina lako sijaliona mkuu kwenye hiyo kozi