Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Kuna kijana wangu yuko kidato cha tatu. Anapenda sana kucheza mpira na anacheza vizuri. Kila nikikaa nae nikimuuliza anatamani kufanya nini katika maisha yake, anasema anataka kucheza soka. Sasa...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Mwenye uelewa wa majukumu na vitengo ndani ya hizi ofisi za udhibiti ubora wa shule katika Wilaya.
1 Reactions
23 Replies
7K Views
By professional ni accountant but nmepata fursa ya kusoma Coding. Naomba kujua how they relate. Kwa career yangu PYTHON itanifaidisha vipi? Naombeni mchanganuo🙏🏼
3 Reactions
7 Replies
857 Views
Nahitaji kufanya somo la physics ili niweze kusoma course ya orthopedic for fun. Nilihitimu fourth 2009 na sikufanya Kabsa physics Inawezekana???? 🐒🐒
3 Reactions
21 Replies
1K Views
Habari wana JamiiForums, naitwa Robi Daphane Ngabiya tafadhali nimepotelewa na vyeti vyangu original vya taauluma kwenye vigari vidogo aina ya probox mnamo tarehe 20 -7-2024 lilikuwa linatoka...
1 Reactions
2 Replies
614 Views
Anonymous
Wahitimu wengi wanalia na mfumo wa kupata AVN kupitia NACTVET ili kuwawezesha kuomba masomo katika elimu ya juu. Wahitimu wengi wanatia huruma kukoseshwa fursa ya kusoma kwakukosa AVN na sababu...
1 Reactions
3 Replies
523 Views
Samahanini asee, Nawezaje kufanya application katika colleges za ualimu mm niliyehutimu kidato cha nne? Process zinakuwaje
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau kwa wale wanao appeal loan, pale kwenye kipengele kinachohusu udhamini wa TASAF, pale mimi niki weka namba ya kitambulisho cha tasaf haikubali, msaada plz
2 Reactions
4 Replies
952 Views
Mchanganuo wa Nyaraka za zinazohitajika kwa anayetafuta Pasipoti ya Kusafiria Kwa Safari ya Ulaya na Kuweka Mipango ya Maisha. Kabla ya kuanza safari yako ya Ulaya na kuanza hatua mpya ya maisha...
22 Reactions
110 Replies
9K Views
Habari wakuu... Mwenye Notes za Microsoft publisher au anaejua mahala ninapoweza kuzipata msaada please
3 Reactions
11 Replies
928 Views
Waziri wa Elimu na Mbunge wa Rombo kwa mwenendo huu anaenda kuua zaidi Elimu yetu. Ukiangalia katika uwekezaji wa Elimu yetu ,Waziri Mkenda amehamishia nguvu kubwa katika uwekezaji katika programs...
8 Reactions
17 Replies
1K Views
Habarii....... Nilifanya application kupitia nacte sasa nimechaguliwa chuo nisichokipenda na ada yake Iko juu tofauti na kwenye guidebook Sasa Nikawa nataka wanifute ili niende chuo kingine...
5 Reactions
43 Replies
2K Views
Wakuu habari zenu naona ajira portal wametoa tangazo la udhamini wa masomo Egypt kwa kozi ya Udaktari (MD) ambapo mwisho wa maombi ni tarehe 5 August. wenye Uzoefu naomba experience ya jinsi ya...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Nilikuwa naomba ufafanuzi wa institutional admissions entry ya vyuo?
3 Reactions
5 Replies
469 Views
Habari, Naomba msaada wakuu mwenye recently soft copy za vitabu hivyo tafadhali.
1 Reactions
1 Replies
510 Views
Naomba msaada wenu wana JF..nimekwama hii sehemu jinsi ya kujaza apo chini kwenye picha. Naomba mnisaidie.
1 Reactions
49 Replies
4K Views
Wakuu kwema? Nina dogo hapa anataka kusoma kozi zinazohusiana na Biashara, kwahivyo ninahitaji ushauri kwa mawili! 1. Nataka mumshauri dogo kozi nzuri ya biashara ya kusomea! 2. Chuo Kizuri kwa...
3 Reactions
4 Replies
607 Views
Wakuu naombeni msaada jinsi ya kujaza hiyo sehemu kwenye ku request control number ili niweze kupata equivalence. Natanguliza shukrani.
1 Reactions
14 Replies
917 Views
Msaada wa shule ya private kwa kidato cha tano kwa michepuo ya sayansi PCM na PCB. Shule iwe ya bweni maeneo ya kibaha mlandizi au chalinze. Ada iwe kati ya milioni moja mpaka milioni mbili na nusu.
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Hivi kuna mtu ashawah kwenda muhas kutoka diploma , mfano course ya nurse na kama alienda alienda na GPA ya ngap?? Embu waliofanikiwa kwenda walete mrejesho ili wawasaidie na wadogo zetu...
2 Reactions
29 Replies
2K Views
Back
Top Bottom