Habari wana bord.
Kichwa cha habari chahusika.
.Nina binti yangu ambaye baada ya kufanya mtihani wa kidato cha pili kunachangamoto ilimtokea hakuweza kuwa masomo licha ya matokeo yake vizuri kwa...
Serikali kupitia TAMISEMI imetoa fursa kwa Wahitimu wa kidato cha nne mwaka 2023 kuongeza au kufanya marekebisho ya machaguo mapya ya tahasusi (combination) baada ya kuongezwa kwa tahasusi mpya 49...
Habari zenu wana Jamii Forums.
Niende kwenye mada moja kwa moja, nimekua kwenye wakati mgumu kimtazamo kutokana na mambo yanavyoenda kwenye Nchi yetu, na moja ya jambo ambalo limekua likinipa...
Hii inatokana kwamba mimi na wenzangu tumekuwa tukipewa ushirikiano mdogo sana hapa chuoni, kwamba mpaka sasa niko mwaka wa tatu na ninatalajia kuhitimu masomo mwaka huu wa masomo 2023/2024...
Kuna kijana wangu yuko kidato cha tatu. Anapenda sana kucheza mpira na anacheza vizuri. Kila nikikaa nae nikimuuliza anatamani kufanya nini katika maisha yake, anasema anataka kucheza soka.
Sasa...
By professional ni accountant but nmepata fursa ya kusoma Coding. Naomba kujua how they relate. Kwa career yangu PYTHON itanifaidisha vipi?
Naombeni mchanganuo🙏🏼
Habari wana JamiiForums, naitwa Robi Daphane Ngabiya tafadhali nimepotelewa na vyeti vyangu original vya taauluma kwenye vigari vidogo aina ya probox mnamo tarehe 20 -7-2024 lilikuwa linatoka...
Wahitimu wengi wanalia na mfumo wa kupata AVN kupitia NACTVET ili kuwawezesha kuomba masomo katika elimu ya juu.
Wahitimu wengi wanatia huruma kukoseshwa fursa ya kusoma kwakukosa AVN na sababu...
Wadau kwa wale wanao appeal loan, pale kwenye kipengele kinachohusu udhamini wa TASAF, pale mimi niki weka namba ya kitambulisho cha tasaf haikubali, msaada plz
Mchanganuo wa Nyaraka za zinazohitajika kwa anayetafuta Pasipoti ya Kusafiria Kwa Safari ya Ulaya na Kuweka Mipango ya Maisha.
Kabla ya kuanza safari yako ya Ulaya na kuanza hatua mpya ya maisha...
Waziri wa Elimu na Mbunge wa Rombo kwa mwenendo huu anaenda kuua zaidi Elimu yetu. Ukiangalia katika uwekezaji wa Elimu yetu ,Waziri Mkenda amehamishia nguvu kubwa katika uwekezaji katika programs...
Habarii....... Nilifanya application kupitia nacte sasa nimechaguliwa chuo nisichokipenda na ada yake Iko juu tofauti na kwenye guidebook
Sasa Nikawa nataka wanifute ili niende chuo kingine...
Wakuu habari zenu naona ajira portal wametoa tangazo la udhamini wa masomo Egypt kwa kozi ya Udaktari (MD) ambapo mwisho wa maombi ni tarehe 5 August.
wenye Uzoefu naomba experience ya jinsi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.