Top 10 Best secondary schools of all time in Tanzania

mwanamabadiliko

JF-Expert Member
Oct 30, 2010
843
1,363
Here is the list of 10 greatest secondary schools ever to occur in TANZANIA. This represents the all time best sec school since the death of Tanganyika. 1. MZUMBE 2. MARIAN 3. FEZA 4. KIBAHA 5. FRANSIS ST 6. KIFUNGILO 7. MAUA 8. ILBORU 9. TABORA 10. KILAKALA
 
Mhh...mbona zipo nyingi tuuu...sema zinamchuano mkubwa sana

Ngoja niongezee hapo

St. mary Goret

Canossa

Mazinde juu(st marys)

st james.......nk you name them uh!!
 
badoo tu mnaendelea kuaamini kuwa kuna best school!
kwa ulimwengu wa sasa kuna best candidates, ure performance will determine the best
ukiwa na akili kama zawachangiaji waliotangulia utashindwa maisha ,then bado wanaoneka mawazo yao ni ya kitoto sana
kama bado mpo shule someni kwa bidii,kama mshamaliza tafuteni hela kwa bidii zote pamoja na amani moyoni
nawasilisha
 
Here is the list of 10 greatest secondary schools ever to occur in TANZANIA. This represents the all time best sec school since the death of Tanganyika. 1. MZUMBE 2. MARIAN 3. FEZA 4. KIBAHA 5. FRANSIS ST 6. KIFUNGILO 7. MAUA 8. ILBORU 9. TABORA 10. KILAKALA

Sasa mkuu mbona feza ni ya juzijuzi tu,bora ungeweka hapo minaki/pugu
 
wewe utakuwa ni kijana wa dotikomu, hizo shule za private zimeanza miaka ya 2000, nyuma ya hapo ilikuwa private wanaenda watu waliofeli std 7 na ilikuwani aibu kusema unasoma private school

Ilikuwa aibu kusema unasoma shule ya private?

Ndiyo kwanza nayasikia leo hayo maana mimi nimesoma private na sijui hata mmoja niliyesoma naye ambaye alikuwa anaona aibu.
 
wewe utakuwa ni kijana wa dotikomu, hizo shule za private zimeanza miaka ya 2000, nyuma ya hapo ilikuwa private wanaenda watu waliofeli std 7 na ilikuwani aibu kusema unasoma private school

Time tells, sasa shule binafsi ndizo zenye sifa iliyotukuka!
 
The best school is feza boys, I remember miaka ya 2000 to 2005 ilikuwa inachukua wanafunzi wa kawaida ambao hata la 7 hawakufaulu nikiwemo mimi ila walimu wanakutengeneza failure wa standard 7 kuja kuwa na akili na kupata flying colors form 4 and form 6 na hata university as kwa msingi waliokuandaa,, but mzumbe, ilboru, kilakala na zinginezo zilikuwa zinapata watu vichwa tayari ambao hata bila kufundishwa wanafaulu.

Nakwambia ukisoma feza hata uwe mjinga vipi utafundishwa hadi ukasirike mwenyewe na at the end of the day unafaulu vibaya na hata kuitingisha nchi,, kuna watu nilisoma nao walifeli la 7 lakin form 4 na 6 wakaja kuingia national top ten na hata university wakaenda kupiga gpa za kufa mtu, imagine hao watu wangesoma shule zisizojua kuwafanya wanafunzi wawe smart wangeishia wapi kama sio kuendeleza zero tu

Mpaka leo nashindwa kuelewa mwanaasha alifeli vp feza girls wakati ni feza girls ni pacha wa feza boys
 
wewe utakuwa ni kijana wa dotikomu, hizo shule za private zimeanza miaka ya 2000, nyuma ya hapo ilikuwa private wanaenda watu waliofeli std 7 na ilikuwani aibu kusema unasoma private school

Siyo kweli mkuu,kumbuka wakati huo shule za serikali(sekondari) zilikuwa chache sana, walikuwa wanafaulu wengi sana ila nafasi zilikuwa chache hivyo wengine tuliangukia huko tena kwa alama za juu sana
 
Here is the list of 10 greatest secondary schools ever to occur in TANZANIA. This represents the all time best sec school since the death of Tanganyika. 1. MZUMBE 2. MARIAN 3. FEZA 4. KIBAHA 5. FRANSIS ST 6. KIFUNGILO 7. MAUA 8. ILBORU 9. TABORA 10. KILAKALA

Best in terms of what? enzi zetu ukisoma FEZA ww kilaza
 
Siyo kweli mkuu,kumbuka wakati huo shule za serikali(sekondari) zilikuwa chache sana, walikuwa wanafaulu wengi sana ila nafasi zilikuwa chache hivyo wengine tuliangukia huko tena kwa alama za juu sana

Hata mimi sijaelewa sijui ni aibu gani anayoizungumzia.

Halafu kufeli la 7 wala siyo aibu. Na kufeli mtihani wowote ule si aibu.
 
Ilikuwa aibu kusema unasoma shule ya private?

Ndiyo kwanza nayasikia leo hayo maana mimi nimesoma private na sijui hata mmoja niliyesoma naye ambaye alikuwa anaona aibu.

NN inategemea unaongelea miaka ipi kwani up to the end of 1990s private (isipokuwa seminaries though sio kwa wanafunzi wote) waliambulia kupokea wale waliofeli au ambao hawakuchaguliwa kujiunga kidato cha kwanza shule za serekali kwahiyo government ilikuwa ni kwa ajili ya vipanga na ndio maana hata katika top 10 (ukiondoa seminary) hakuna shule ya private ilikuwa ikifua dafu mbele ya government. Siku hizo hata ukimwuliza mwenzio unasoma wapi hakiyanani kama ni private anatamka kwa unyoooonge kwasababu atajulikana alifeli.....Siku hizi kama mwanao anasoma government hutaki hata kutamka hivyo mbele za watu kwani unaonekana ....you are not serious!!
 
Siyo kweli mkuu,kumbuka wakati huo shule za serikali(sekondari) zilikuwa chache sana, walikuwa wanafaulu wengi sana ila nafasi zilikuwa chache hivyo wengine tuliangukia huko tena kwa alama za juu sana

lakini ilikuwa sifa kusoma, government school, maana yake ni kwamba umafaulu kuliko wengine ndio maana ukachaguliwa! Sure we were looking down to those who went to private school (kasoro seminaries na intl schools) hata kama ni kaka yako wa tumbo moja.
 
Back
Top Bottom