Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Bodi ya mikopo itatoa lini majina wajuzi tujuzane
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wandugu, Mwanangu mmoja anataka kusomea nursing na shule kanieleza keshapata iitwayo MBAGALA NURSING SCHOOL. Nimeitafuta sana hii shule kwenye mtandao lakini sijaiona. Nimewaandikia Tanzania...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau ningependa kujua kuhusu utorewaji wa elimu bure hususana katika kipindi hiki cha kampeni ikiwa ni moja ya ahadi zitolewazo na wagomea wetu.je hii elimu itakuwa bora kama tunavyo tarajia..
0 Reactions
2 Replies
1K Views
TAARIFA YA UFAFANUZI Tunapenda kufafanua kuwa taarifa zinazosambazwa katika baadhi ya mitandao ya kijamii kuwa orodha ya majina ya waombaji wa Mikopo waliofanikiwa kwa mwaka wa masomo 2015/2016...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
UNAWEZA KUPAKUA NYARAKA HIZO HAPA Sebastian Kolowa Memorial University (SEKOMU)
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Nacte nao bwana, yani utadhani application tulifanya bure. wanakere sio siri
0 Reactions
0 Replies
791 Views
nimeandikiwa waiting for approval. je sitakiwi kuomba third round application? au niendelee kusubiri
0 Reactions
2 Replies
848 Views
wadau habr zenu.kuna jamaa angu apo sju anachukua civil alipewa mkopo asilimia km 80 iv sasa coz ada ya chuo ni kubwa analazimika kuongezea km 1500000.tuition fees,kwa namna hiyo inampa wakat...
0 Reactions
32 Replies
9K Views
Leo tarehe 12 October,bodi ya mkopo wamekanusha uvumi unaosambaa kuhusu swala la kutoka kwa majina ya waliopata mkopo. Hivyo ingekuwa vizuri tukapunguza kusambaza taarifa za uongo. Tembelea...
0 Reactions
2 Replies
878 Views
Tunashkuru heslb kwa kutoa taarifa za kukanusha taarfa ya kutolewa majina ya walioopata mikopo bodi; HESLB wanachotakiwa kufanya ni kuwachukulia hatua watu wote wanaohusika kutoa taarfa za uongo.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nicheck pm au kwa namba hii 0742815465 tushauriane kwa Yale yanayowezekana saidiana
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Mwenye bartch 2 ya UDSM
0 Reactions
7 Replies
1K Views
  • Closed
Habar wana JF, kuna rafiki zangu kama wanne hivi wamekua wakinshtua na habari hizi za kuhusu mikopo leo so nawaombeni wenye uhakika na hili jambo watujuze jamani. =========
1 Reactions
46 Replies
7K Views
jaman hivi nikwel bodi ya mkopo imeachia majna? au mtu anapataje taarifa binafsi kuhusu bodi hyo?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari! ajiratanzania.org ni mtandao unaotoa updates mbalimbali za nafasi za ajira na scholarships za ughaibuni kwa wanafunzi wa kiafrika (Ulaya, Marekani na Asia) So kwa wewe mwanafunzi wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
http://www.aru.ac.tz/images/documents/pdf/adverts/CANDIDATES%20SELECTED%20FOR%20UNDERGRADUATE%20ADMISSION%202015-2016.pdf
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wakuu, Kuna wadogo zetu walimaliza kidato cha sita na matokeo yao yametoka karibuni, kwa sasa wapo kwenye mchakato wa kujaza vyuo na uchaguzi wa shahada watazochukua. Ni ngwe muhimu sana...
5 Reactions
2K Replies
201K Views
je wajua chochote kuhusu mkopo mwaka Huu?
0 Reactions
49 Replies
50K Views
Secretary wa shule ya sekondari anahitajika, Shule ipo Kibaha Misugusugu, Mkoa wa Pwani. Sifa, awe na uzoefu wa kazi hiyo walao miaka mitatu katika shule yoyote Tanzania na yenye umaarufu. Mwisho...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom