UDOM suplementary

Crystal field theory

JF-Expert Member
Sep 16, 2014
881
303

MABADILIKO YA TAREHE YA MITIHANI YA MARUDIO NA MITIHANI MAALUM (SUPPLEMENTARY/SPECIAL EXAMINATIONS) ILIYOKUWA IFANYIKE TAREHE 24 -28/08/2015


Chuo Kikuu cha Dodoma kinawatangazia wanafunzi wote wa mwaka wa mwisho wa masomo 2014/2015, ambao hawakufanya mitihani yao ya mwisho ya mihula ya I na II kwa sababu mbalimbali kuwa, wanatakiwa kuja kufanya mitihani husika ( Supplementary/ Special Examinations) tarehe 07- 11/09/2015.

Na wanafunzi wanaoendelea na masomo (Continuing students) ambao pia hawakufanya mitihani yao kwa sababu mbalimbali, watafanya mitihani ya marudio na mitihani maalumu tarehe 2-6/11/2015 kama ilivyotangazwa awali.

Imetolewa na:
Ofisi ya Naibu Makamu mkuu wa Chuo, Taaluma, Utafiti na Ushauri.

CHUO KIKUU CHA DODOM
 
Back
Top Bottom