Msaada

Msaada

kapikita

Senior Member
Joined
Jun 8, 2014
Posts
131
Reaction score
74
Wakuu nisaidien majib kuhusu hili.
Nina ndugu yangu amemaliza kidato cha sita mwaka huu.
badala ya kuomba chuo kupitia tcu yy aliomba kupitia nacte, je ataweza kupata chuo?
 
Wakuu nisaidien majib kuhusu hili.
Nina ndugu yangu amemaliza kidato cha sita mwaka huu.
badala ya kuomba chuo kupitia tcu yy aliomba kupitia nacte, je ataweza kupata chuo?

hakuna haja ya kupoteza mda aombe tcu 3rd round applcation imeanza jana
 
Back
Top Bottom