Tuzikumbuke Shule Zetu Tulizosoma

SolarPower

JF-Expert Member
Jan 17, 2011
223
27
Wakuu,

Tuwahamasishe Watanzania kwa ujumla wetu ili tuweze kuzikumbuka shule zetu tulizosoma za Msingi na Sekondari ili tuweze kuzisaidia kwa hali na mali ili ziwe bora na kutoa wanafunzi waliobora zaidi. Kuna haja ya kuwa na vikao maalum kila mkoa na kupanga mikakati maalum ya kuzisaidia.
 
Dah unanikumbusha shule yangu ya msingi mabibo sijui nianzie wapi ili niweze kutoa mchango wangu moja kwa moja kwa wahusika nikimaanisha wanafunzi,Maana hii misaada isipodhibitiwa huwa inaishia juu kwa juu.Kaka umeleta thread ya maana na inabidi tulifanyie kazi hilo wana jf.
 
eeh bwanae, shule yangu Kashai 97, Bukoba sec 2001 na Ben Mkapa High skul 2004... Zinahitaji wakuu wabunifu angalau Alumns waitoe skuli yao itakuwa njema sana! I wish to meet ma classmates here! Nawe mtoa mada ulisoma wapi?
 
Wakuu,

Tuwahamasishe Watanzania kwa ujumla wetu ili tuweze kuzikumbuka shule zetu tulizosoma za Msingi na Sekondari ili tuweze kuzisaidia kwa hali na mali ili ziwe bora na kutoa wanafunzi waliobora zaidi. Kuna haja ya kuwa na vikao maalum kila mkoa na kupanga mikakati maalum ya kuzisaidia.

shule yangu ya msing ilikua inaitwa MKONDOA,kwa sasa haipo tena,maana ilizolewa na mafuriko
 
naikumbuka sana shule yangu luzinga primary huko kamachumu muleba,1999.o level &A level Mazengo sec [now st John university].
 
Wasema kweli ,hili ni wazo muhimu sana.Lakini pengine shida sio funding ni organization.

Kimsingi mfumo mzima wa elimu haupo fresh.Lbda tuwe na activists wa elimu watakaoanzia wirazani.

All in all I remember well my schools,Unyankhanya p/s,&Dungunyi seminary :Singida, KIbaha (pwani)
 
Dah unanikumbusha shule yangu ya msingi mabibo sijui nianzie wapi ili niweze kutoa mchango wangu moja kwa moja kwa wahusika nikimaanisha wanafunzi,Maana hii misaada isipodhibitiwa huwa inaishia juu kwajuu.Kaka umeleta thread ya maana na inabidi tulifanyie kazi hilo wana jf.

Daah, aisee we jamaa yani mi umenifanya niwakumbuke kinoma masela wangu wa primary school, kitu cha 'sadiki' & 'hussein aden', hawa jamaa sijui wakogo wapi siku hizi
 
Mollo s/m(Sumbawanga)-standard 1-3. Kalila s/m(Mpanda)-standard 3-4. King'ang'a s/m(Kondoa)-std 4-7. Pugu sekondari(Dar)- olevel. Jamhuri High School(Dodoma)- Alevel, UDSM(BA), Open University of Tanzania(LL.B) na university of The Witwatersrand(M.A) na OPen University of Tanzania
 
Rukoma primary- Nyakato(bukoba) seconday-chato high school then UDSM..ila Nyakato naikumbuka sana maishani ilinifunza mengi sana..
 
sasa na wale ttuliosoma saint tangia msingi inakuaje hapa wajameni??? Nauliza tuu msinishambulie sana wakuu
 
Kiburang'oma primary school (1981 to 1987) pale Lizaboni Songea then Ifunda Tech. Sec School (1988 to 1991) Iringaa
 
Kalagala ps I feel you thn pale Rock city kitu cha Bwiru na baadae Tabora boys I remember those days.
 
Mollo s/m(Sumbawanga)-standard 1-3. Kalila s/m(Mpanda)-standard 3-4. King'ang'a s/m(Kondoa)-std 4-7. Pugu sekondari(Dar)- olevel. Jamhuri High School(Dodoma)- Alevel, UDSM(BA), Open University of Tanzania(LL.B) na university of The Witwatersrand(M.A) na OPen University of Tanzania

mdau umesoma shule za msingi 3! Dah! Umenikumbusha rafiki yangu mmoja alisoma primary schools 9 tofauti, 7 mikoa 7 tofauti, 2 mkoa mmoja. (I think ana record ya kipekee)
 
sasa na wale ttuliosoma saint tangia msingi inakuaje hapa wajameni??? Nauliza tuu msinishambulie sana wakuu

kaka we jiachie tu jamiiforums ni mtandao wa wote wale wa uswazi na ushuani so tupia swagah za IST,FEZA,MARY MARY na kitu cha east africa sec ila chuo naamini lazima utagota cha public kitu ardhi.
 
Kabarimu p/s........Nyegina sec........Musoma Alliance, kweli tufanye utaratibu wa kukumbuka tulikotoka.
 
Back
Top Bottom