Nasoma bachelor of education special needs,somo langu la kufundishia ni Mathematics na specialist yangu ni Hearing impairment.
1.Soko la ajira lipoje?
2.Naweza kufanyakazi nje ya wizara ya...
Tunatoa ufadhili wa 50% ya gharama zetu kwa wanafunzi 20 wa mwanzo watakaodahiliwa na chuo chetu kwa ngazi ya certificate.
Gharama zetu
Ada sh. 800,000/=
Hostel 300,000/=
Michango ...
Chuo Kimeanza Kuwapigia Walioomba Nafas Pale Ili Kuwajulisha Kama Wamekua Selected.Na Kwamba Admission Letter Zitatumwa Katka Email Ya Kla Mmoja...So Ukikuta Bdo Kwenye Profile Yko Umeanikiwa...
Westgate Girls School, ni Shule ya bweni ya wasichana iko Kibaha Misugusugu mkoa wa pwani. Inapokea maombi ya kidato cha kwanza watakaojiunga Januari 2016. Fomu zinapatikana Msimbazi Center (Duka...
Nataka kufahamu kuhusu upatikanaji wa malazi (accommodation) kwa wanafunzi wa Mwenge Catholic University huko Moshi.
Je, chuo kina nafasi kiasi gani kwa ajili ya malazi ya wanafunzi na kwa...
Kuna Jamaa Angu Ameajiriwa Ualimu Mwaka Jana Na Alimaliza Sauti Mtwara.Kuna Jamaa Kaja Kaja Anataka Amuazime Cheti Chake Cha Kidato Cha 4 Ili Apate Kazi.Jamaa Kasema Anatoa Million Moja Na Jamaa...
Kwa wale mliopata post ya kuja kilichokuwa chuo kushiriki cha Mt Augustino tawi la moshi, (MWENGE)
NAKARIBISHA MASWALI YENU KUHUSU CHUO CHETU.
HONGERENI SANA KWA KUCHAGULIWA CHUONI HAPA, INGAWA...
Kama unae first year 2015/2016 mwambie majna ya mkopo yametoka hvo bod ya mikopo inakutaka uangalie kama utakubaliana na kiwango ulichopata au utahitaj ufikiriwe upya
wametoa siku mbil leo na...
wadau habari za muda huu
kwa yeyeto anayejua jinsi ya kusajili kituo cha QT naombeni anisaidie procedures!
natamani Jamii yetu ipate elimu kadri tuwezavo kuitafta!
naomba mnipe vigezo pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.