Elimu maalum Tanzania

Elimu maalum Tanzania

slmmfm

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2014
Posts
304
Reaction score
65
Nasoma bachelor of education special needs,somo langu la kufundishia ni Mathematics na specialist yangu ni Hearing impairment.

1.Soko la ajira lipoje?

2.Naweza kufanyakazi nje ya wizara ya elimu?

3.Kwa bachelor hii naruhusiwa kusoma master ya computer science, A"lev nilisoma PCM?
 
dogo komaa kwanza kwani upo chuo gani maliza utafanya kazi tbc broadcasting
 
SEKOMU, zaman ilikua university collage of TUMAIN
 
mpango wa post hawazingatii special needs.kuna shem wangu alikuwa na special needs mwaka juzi wakampanga Moshi tech. lakini pale tena wakampiga double cross wakampeleka shule moja ya kata pale manispaa.alisoma UDOM.
 
Kwanini utake kufanya nje ya wazara ya elimu wakati chuo uliomba mwenyewe tena education, mdogo wangu tuliya ukafundishe wadogo zetu.
 
Waliosoma spécial na ambao hawajasoma spécial wote sawa mwenzangu lambda davantage iliyopo waweza pangwa town lkn mbali na hapo mshahara ni ule ule
 
Salary million 2 na ushered hivii """"""""""""""
 
kaka yngu alisoma hyo analipwa m10 mapulupulu kibao kwa mwez komaa kaka
 
Waliosoma spécial na ambao hawajasoma spécial wote sawa mwenzangu lambda davantage iliyopo waweza pangwa town lkn mbali na hapo mshahara ni ule ule

ni kweli kabisa kwa uyasemayo.maana mm nimesomea hearing na visual impairment but maslah ni kama ya walim wa kaeaida.na isitoshe kwa sasa nafundsha shule za kawaida hata kwa walemavu niliosomea hawajanipeleka.nipo tu na utaalam wangu wa nukta nundu na sign language nisioufanyia kazi.
 
Ha ha ha ha ha ha umeona ee ndo hivyo mi nami nimesoma Secomu na nshaajiriwa bt sijaona utofauti labda faida nimepangwa town tu sijapelekwa kantalamba
 
TGTSD1 ndo nini mkuu

ni Tanzania Government Teachers Scale D1 ambayo kwa anayeanza Kazi mwaka huu atalipwa 630000 basic salary (kabla ya makato mbalimbali), so hao wanaokudanganya ni 2ml si kweli hata kidg. unafuu wako ni kupangwa mjini cz shule hizo zipo town.
 
Nashukulu kwa ufafanuz mzuri, inamaana baada ya makato inawezabaki kias gan?
 
mpango wa post hawazingatii special needs.kuna shem wangu alikuwa na special needs mwaka juzi wakampanga Moshi tech. lakini pale tena wakampiga double cross wakampeleka shule moja ya kata pale manispaa.alisoma UDOM.

si kweli hata kidogo, acheni kupotosha watu jamani, ukweli ni kwamba wizara ilitoa tangazo juu ya kozi muhimu ambazo wanaajiri moja kwa moja ni pamoja na hii ya special educ. achanemi na masuala ya BAED,BED nk hyo mwaka juzi serial haikua na emphasis ktk special programs. emphasis imeanza kutolewa mwaka jana name ajira mpya za special programs zinaanza kupewa kipaumbele ktk ajira za mwaka huu. "source ni Tangazo na tamko la wizara lililotolewa na Mh. Jenister J. Mhagama- Naibu waziri wa Elimu kipindi hicho"
 
Back
Top Bottom