Ajira ajira ajira

Ajira ajira ajira

Jeff Albert

Senior Member
Joined
Jul 19, 2015
Posts
136
Reaction score
37
Wadau naomba kujua mfano mwalimu anayefundisha shule ya private anaweza kupitia hatua gani akapata kazi serikalini akatoka private
 
Maelezo na head haviendani sidhan kama utapata majibu sahihi,next time jifunze ustaarabu wa matumizi ya akili yako ya asili vizuri bila kuruhusu mihemko!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom