breaking Newssssssssasss maombi nacte yanaendelea mwisho 16.10.2015 11.59PM xo unatakiwa kutuma maombi au kupdate!!! info zako Tunashkuru kwa kutuongezea mudaa!!! if posble muongeze tena!!.Thank...
Kama umechaguliwa mwaka wa kwanza 2015/2016 kujiunga na Chuo Kikuu cha Mzumbe tawi la Mbeya, Tuma Jina lako kwenda kwenye number 0755634747 nikuunge kwenye group la Wanafunzi wa mwaka wa kwanza...
Wadau, TCU wamenichagua kujiunga na Bachelor of Education Special needs Sebastian Kolowa Memorial University.
Naomba kujua kama soko la ajira kwa hii kitu lipo na pia nikimaliza nitaajiriwa kama...
sijaona post inayohusu muhimbili...
first year na wadau wa muhimbili tupeane information
-chuo kinafungulwa lini?
-direct payments?
-changamoto zingine chuoni?
KARIBUNI....
Wadau, tafadhar mwenye ufahamu juu ya kozi tajwa hapo juu ya chuo kikuu cha sokoine (SUA), anijuze hasa juu ya kozi yenyewe na soko la ajira kwani nimeambiwa wahitimu wake hawaajiriwi na serikali.
Wakuu,
Ninashida ambayo imenisumbua kwenye siku mbili tatu hivi, mwenye prospectus ya hiki chuo cha Univesity of Arusha anitumie please,maana kwenye website yao prospectus haifunguki ukidownload.
Hivi jamani kipi ni kipi between these two, Kusoma kile unachokipenda..That's which you always dream to learn and become (Where your Heart is at) Au, Kusoma kitu marketable I mean kwenye pesa...
Habarin wapendwa, wewe kama ulituma maombi ya certificate Au diploma ya kozi za afya.. Clinical medicine, Nursing & Midwifely Au Lab tech na umekosa nafasi wasiliana nami kwa kuja pm weka contact...
Habari zenu wapendwa! Matumaini yangu ni wazima.
Ninaomba msaada anaefahamu kama posts za jokuCo bukoba zimetoka. Tafadhali kama zimetoka anisaidie kunijulisha.
waliopangiwa ajira Oct 7,2015 kwa katibu mkuu wizara ya fedha kuriport Lin????
Vip barua za kureport ,utumishi wanatuma baada ya muda gani????
Update tafadhari
Habari zenu wakubwa,
Naomba kuuliza kwamba nimekua selected by NACTE UDSM but sijaelewa nini maana ya uchaguzi huo unategemea uthibitisho kutoka chuoni ndio wasi wasi wangu mkubwa sasa ina maana...
wakuu mimi ni moja ya wahanga wa third round na nimeomba UB faclt ya eductn wth math, ict an cts naomba kama unafaham khs mazngra ya elimu na changamoto zake kwenye hiki chuo nisaidi
Wakuu ningependa kuuliza hii imekaaje yaan chuo kimenitumia sms ya Rector kua nimechaguliwa kujiunga na chuo cha Ifm na nifate documents kuanzia 12 oct lakin katika account yangu ya Tcu bado kuna...
wapendwa mliomo humu hasa wale ambao mnafahamu taarifa kuhusu MBEYA UNIVERSITY OF SCIENCE AND TECHNOLOGY naomba mnielezee vizuri kuhusu hiyo ishu ya chuo kufundisha kozi fupi kwa lugha ya kichina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.