Moody Rutunga Jr.
Senior Member
- Sep 25, 2013
- 110
- 16
Kwa wale FACULTY OF AGRICULTURE yametoka leo lakini vitivo vingine yalitoka muda...
jaman naomba ufafanuzi wa RPL mie cjui kabisaa ndo wanafunzi gan hawa?
Tarehe ya probation ni lini?Ila vyuo vingeangalia upya ratiba ya kutoa matokeo kwakuangalia ratiba ya application TCU Mfano SUA+UDOM wametoa matokeo jana halafu TCU muda wa kufanya application umeisha jana(31/8/2015) halafu kuna watu ambao waliodisco kwenye hivyo Vyuo,hao watu inawabidi kusubiri hadi mwakani ilikuweza kuomba chuo tena kitu ambacho ni kupoteza muda.Hongera kwa UDSM wanatoa mapema matokeo hivyo kuwapa fursa wanafunzi waliofeli kuweza kufanya maombi tena TCU ndani ya mwaka waliofeli.
Udom ip unayoizungumzia Mkuu.
Japo kweli hawajatoa..lakini wale wameyabania..kuna dogo hadi leo hajui
Kwanini wameyabania?? Vyuo vipo vingi ambavyo vinachelewesha kutoa matokeo,ninachoomba mimi ni kwamba warekebishe ratiba zao ziende sambamba ya muda wa TCU application ili kutoa fursa kwa wanafunzi wanaodisco waweze kufanya application ndani ya mwaka walio disco.Kama wanavyofanya UDSM, IFM na vyuo vingine vinavyowahi kutoa matokeo
Mkuu nayapata wapi ayo majinaKwa wale FACULTY OF AGRICULTURE yametoka leo lakini vitivo vingine yalitoka muda...
Tarehe ya probation ni lini?
Ila vyuo vingeangalia upya ratiba ya kutoa matokeo kwakuangalia ratiba ya application TCU Mfano SUA+UDOM wametoa matokeo jana halafu TCU muda wa kufanya application umeisha jana(31/8/2015) halafu kuna watu ambao waliodisco kwenye hivyo Vyuo,hao watu inawabidi kusubiri hadi mwakani ilikuweza kuomba chuo tena kitu ambacho ni kupoteza muda.
Hongera kwa UDSM wanatoa mapema matokeo hivyo kuwapa fursa wanafunzi waliofeli kuweza kufanya maombi tena TCU ndani ya mwaka waliofeli.
Udom ip unayoizungumzia Mkuu.
Japo kweli hawajatoa..lakini wale wameyabania..kuna dogo hadi leo hajui
Mh! yupo kozi gani, COES walishatoa zamani.