Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

mwenye namba za mtu yeyote ambaye yuko pale chuo cha kiomboi nursing singida naomba anisaidie maana nashida na namba za sim za pale chuoni
0 Reactions
0 Replies
899 Views
Wadogo zangu kwa uzoefu wang mm kama course uloomba ilipewa priority na mkopo umekosa tena bila kupewa sababu kama unaweza fika ofic za bodi ya mkopo fika pale toa malalamiko yako utasaidiwa couz...
0 Reactions
2 Replies
946 Views
ndg zangu naomba msaada wa link mnayoingilia loan tafadhali. nashukuru
0 Reactions
2 Replies
2K Views
wale wa sua first year tayari kimenuka loan board imeshawapa mkopo hongeleni vijana mkashindwe kupiga kitabu.Ila nawakumbusha sua siyo mchezo kuna muscle ya ajabu na course work za kutosha
0 Reactions
1 Replies
2K Views
mungu ashukuriwe maana matumbo yalikuwa joto.Ila majina yanapatikana kwenye website ya sua
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Buum ni shingapii
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Ingia kwenye profile yako uone kama kuna mabadiliko
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Je mtu aliye jicomfirm mwenyewe ktk profile yake badala ya kufanyiwa comfirmission na chuo husika ina kuwaje hapo WADAU???
0 Reactions
8 Replies
2K Views
habari zenu wakuu ningependa wale wote waliochaguliwa au wanaosoma muce tujuane hapa ....thanks....
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Mi nadhani tu heslb itangaze na iweke wazi tu hakuna mkopo marahii mana hadi sasa hakujatolewa majina na trh 31 vyuo vyengine ndio reporting day yao. Akh semeni tu mumezitumia kwenye kampeni zenu...
0 Reactions
37 Replies
6K Views
Wadau nimesahau password yangu OLAS msaaada
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wapendwa Nakumbuka hapo nyuma kulikuwa na mjadala mkali wa nani ataibuka mshindi kwa kila timu ikitaka kuvutia upande wake. Sasa wote tunajua Raisi amesha simamishwa na kwa bahati mbaya kwa...
0 Reactions
1 Replies
688 Views
Habarini za kazi wakuu, poleni na uchaguzi maisha lazima yaendelee.. Naombeni msaada wa ushauri wa kitaalamu na kitaaluma pia. Tafadhali sana kama ww hujui au unaona haikuhusu pitia mbali, si...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wale wote wa Rubya health training collage tujuane hapa
0 Reactions
0 Replies
879 Views
Official Majina ya undergraduates 2015 2017 yametoka udsm kwenye website yao www.udsm.ac.tz Hongeren sanah first year
18 Reactions
621 Replies
136K Views
wakuu mwenye ufaham wa taarifa za ufadhil mwaka huu atujulishe 7bu wengine tunashindwa kuafford ada za vyuo tulivyo pangiwa.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
NBAA wamefanya mabadiliko ya Ukumbi wa kufanyia Mitihani ya NBAA Nov 2015 ambayo ina anza Wiki ijayo Kituo kimehama kutoka CCT-Dodoma kwenda CBE Dodoma Cumpus New Hall Kila mdau amwambie...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mimi ni kijana niliyehitimu elimu ya kidato cha Sita mwaka ningependa kufahamu mbadala wa kupata fedha kwa ajili ya kuendelea na masomo yangu ya elimu ya juu. Nimesoma shule za serikali tangu...
0 Reactions
0 Replies
945 Views
Habari za asubuhi wanafunzi wenzangu undergraduate, diploma, masters na viongozi wengine humu ndani. i hope Mungu yupo nasi kwa baraka zake. katika pita pita zangu facebook nkaona page...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wapendwa habarini...!! Nimechaguliwa kujiunga na masoma chuo cha LUGARAWA SCHOOL OF NURSING corse ya Community Health kama kuna mwenzangu amechaguliwa chuo hicho naomba tuwasiliane 0786881231...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom