Kila hatua katika maisha ina impact, wenye watoto waliomaliza darasa la saba hongera, kama amefaulu/hajafaulu we kula hongera na kuanza kumshika mkono alipoteleza.. Kumbuka humu wapo waliofaulu...
Ndugu wanaJf nimepangiwa chuo cha Ruaha na ningependa kujua mazingira kwa ujumla ya Iringa na chuo cha Ruaha pia napenda mnijuze mahusiano ya watu wa Iringa na jamii nyingine.pia chuo kiko vipi...
taarifa nilizozipata hivi punde ktoka kwa mwanafunzi aliyechaguliwa muce na tayari kashafika chuoni kasema majina ya waliopata mkopo mwaka 2015/2016 yameshabandikwa chuoni kama una mtu wako wa...
Ndugu zangu wana jamii forum nisaidieni kufikisha ujumbe huu.
Walimu wa shule za mazoezi wametelekezwa na mwajiri wao Mara baada ya kitu kilichoitwa UGATUZI.
Walimu hawa hawana mwajiri rasmi...
Nia na madhumun nikutoa taarifaa kwa nafasi ya kaz kitengo cha uwalimu mkuu ngazi kwa shule za secondary
Sifa
1.Awe mwenye stashahada ya uwalimu
2.Awe na uzoefu WA kazi hiyo takriban miaka 3
Kwa...
Habari za Jumatatu mdau! Taarifa kuwa orodha ya majina ya waombaji mikopo kwa 2015/2016 imetoka sio za kweli. Kazi ya uchambuzi wa maombi inaendelea. Uwe na siku njema.
Source ya hii taarifa...
ulipowambia watanzia elimu bure tena uliwaeleza na vyanzo vya mapato kudhamin elimu ya tanzania watu wengi sana walikubeza na kukuina tapeli saiz vijana wenzang hawaelewi kwa kukimbilia kwasababu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.