Form IV: Ninawatakia mema kwenye ?MTIHANI
WENU WA MWISHO? utakaoanza wiki ijayo.
Mambo muhimu ya kuzingatia:
1. Jiandae kwa kusoma vizuri pia ukijiandaa
mapema ni bora zaidi.
2. Pima uwezo wako na...
Hi guys,ninayo furaha kuwajulisha kua wale waliokua wakisubiria batch TWO UDOM,tayari majina yashatoka,ingia kwenye website ya chuo UDOM-WEB utafute jina lako na kozi uliyopangiwa
"MUNGU NI WETU...
Jamani wana jf mko pouwa?
Mimi nimechaguliwa chuo kikuu cha mwenge fourth round kwani nilikata tamaa kabsa baada ya kuona kila round ambayo ninaaply nilikuwa natemwa nahuku ufahuru wangu sio...
By dr mose:
Kuna coz za afya?
Vipi wanaruhusu new applications?
Na unaomba machaguo mangapi?
Asante
Wakuu msaada tafadhal,,, au mnisaidie namna ya kupata majibu ya maswal yangu
Habari wadau.
Dogo amemaliza diploma mtwara huko.aliomba kusoma degree Na tcu wamemchagua kusoma HRM Chuo cha ushirika Moshi.
Nimeingia official website ya Chuo cha ushirika wameroa list ya...
Wakuu Msaada tafadhali,
Nina ndugu yangu amepata nafasi ya kusoma Muhimbili, amepata admission letter lakini kuna form kama C-FORM, medical n.k hakupewa. Wamewaandikia kwamba zinapatikana kwenye...
Napenda kufahamu ni wapi nitapata technical secondary schools ya serikali au binafsi nzuri na ni active? Nataka kumpeleka kijana wangu akaanze form one mwakani 2016.
habari ndugu,Dogo langu amechaguliwa Chuo tajwa hapo juu,please naombeni kitaaluma VIP na kimazingira pia,na VIP changamoto za hapo Chuoni kwa waliyopitia hapo,thanks
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.