MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 7,299
- 13,736
Mimi ni kijana niliyehitimu elimu ya
kidato cha Sita mwaka ningependa kufahamu
mbadala wa kupata fedha kwa ajili ya
kuendelea na masomo yangu ya elimu ya juu.
Nimesoma shule za serikali tangu shule ya
msingi hadi kidato cha sita, katika matokeo
yangu nilipata Geo B, Phy B, na Adv Math B+
kozi niliyoichagua na Ndoto yangu ni BEng
Computer Engineering.