Nyinyi wa five round ndo round ya mwisho ukikosa msikilize huyu
The Tanzania Commission for Universities - TCU
Zoezi la udahili linaekelea Ukingoni, kwa waliokosa kabisa vyuo wasihofu...
Nilichaguliwa kupitia nacte kusoma degree na nikathibitishwa na chuo husika,sasa cha kushangaza napo angalia jina langu kupitia tcu results selection naambiwa bado nina provisional selection...
habari zenu wadau, nimechaguliwa university mwaka huu ila nataka ni-report mwakani, je, nifate taratibu gani ili nifanikiwe? naombeni sana msaada wakuu
Nawasalimu wadau,
Mimi ni mkazi wa Dar na ninataka kujifunza lugha ya kiarabu. naomba munisaidie ni wapi kwa hapa Dar ninaweza kupata wataalamu wazuri wenye kujua kufundisha lugha hii.
tembelea swahiliform blog (petermwiza.blogspot.com) kuweza kuongeza maharifa kuhusu somo la kiswahili Mimi nimeitembelea nimeweza kupata elimu ya kutosha kuhusu
# historia ya lugha.
# fonetiki...
Habarini ndugu zangu wana JF,!
Naombeni msaada wa kufahamu kozi fupi zinazotolewa na vyuo vya VETA hasa MBEYA na MOSHI ukiondoa UDEREVA, na je huwa zinatolewa kwa muda gani?
Natanguliza...
Kwa wale applicants walioapply kwenye fourth round, matokeo yapo tayari katika profile zao, na kwa sasa CAS inafunguka vizuri tu na CAS ipo open kwa fifth round...nawatakia kila la kheri...
Wakuu kwa sasa nasikia wanasayansi wamegundua idadi ya sayari nyingine ambazo zilikua hazijagunduliwa hapo kipindi cha nyuma. Je kwa sasa zimegunduliwa ngapi na majina yao ni yapi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.