Msaada kwa walokosa mkopo

Msaada kwa walokosa mkopo

nyigo Jn.

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2015
Posts
269
Reaction score
96
Wadogo zangu kwa uzoefu wang mm kama course uloomba ilipewa priority na mkopo umekosa tena bila kupewa sababu kama unaweza fika ofic za bodi ya mkopo fika pale toa malalamiko yako utasaidiwa couz mm mwaka jana ilinikuta hiyo hali bt baada ya kwenda ofic za bodi nilipewa mkopo wang!! All da best
 
KOZI KUA PRIORITY HAINA MAANA KWAMBA LAZIMA UPATE..ILA MNAPEWA KIPAUMBELE NYIE SERIKALI HAINA PESA NA VIPAUMBELE VIMEKUA VINGI

#HapaKaziTu
 
Wadogo zangu kwa uzoefu wang mm kama course uloomba ilipewa priority na mkopo umekosa tena bila kupewa sababu kama unaweza fika ofic za bodi ya mkopo fika pale toa malalamiko yako utasaidiwa couz mm mwaka jana ilinikuta hiyo hali bt baada ya kwenda ofic za bodi nilipewa mkopo wang!! All da best

Kwawale ambao bado kupata vyuo nao vp kuhusu mkopo!? Au ndo kwaheri
 
Back
Top Bottom