Higher learning student supporting fund (HSSF)

God'sBeliever

JF-Expert Member
Sep 1, 2015
5,790
3,020
Habari za asubuhi wanafunzi wenzangu undergraduate, diploma, masters na viongozi wengine humu ndani.
i hope Mungu yupo nasi kwa baraka zake.
katika pita pita zangu facebook nkaona page imeandikwa higher learning student supporting fund (HSSF)
wamejitambulisha kama NGO ilioanzishwa 2008 kwa lengo la kusaidia wanafunzin waliokosa mkopo kutoka bodi ya serikali yan HESLB so lengo lao ni kuwasaidia hawa wanafunzi kwanzia level ya secondary, college had university pia wanatoa mikopo kidogo kwa post graduate. source yao yafedha ni biashara kwa wamiliki pia msaada kwa wadau mbali mbali. pia inatafutia wanafunzi vyuo wale wa sekondari na scholarship wale wa vyuo. ni lazima uwe active member uwe unachangia kidogo et. wakatoa masharti mengine kibao.
kwa utaalamu wangu naona page ishakufa koz ilikua active toka mwaka 2013.
kuna joining fee na fee ya kuomba mkopo pia. mimi nilikaa na kufikiria nkaona hawa ni matapeli au jamani kuna mtu anaefahamu kwa undani hii bodi atuambie au yule ambae alifanikiwa mkopo.
 
Hao ni matapeli na wamewapiga sana wanachuo waliokuwa wanajiunga mwaka 2012 kisha wakaifunga website yao. Humu ndani walizungumziwa sana.
 
Hao ni matapeli na wamewapiga sana wanachuo waliokuwa wanajiunga mwaka 2012 kisha wakaifunga website yao. Humu ndani walizungumziwa sana.
Mungu tuu atulinde maana hii dunia ina kila aina ya viumbe wabaya ambao wanaweza toa hata uhai wa mtu. na washindwe ka jina la Yesu naamini jasho la mtu halipotei hivi hivi Mungu atawaangalia tuu wale wote waliotapeliwa.
 
Back
Top Bottom