wadau naomba mnishaur...iv naweza hamia chuo cha
hurbert kairuki bila ya kupitia TCU i mean...niende
moja kwa moja chuon nichek utaratibu..maana hawa
TCU online siwaamin kabisa kwa...
Kwa wale wote ambao tumepelekwa mpaka round ya nne katika kozi za afya tukutane hapa tupeane taarifa kwa updates zozote kuhusu round hii ya nne ...kama vipi weka namba yako nikuunge kwenye Grup la...
TUITION KWA MASOMO YA, HISTORY, KISWAHILI, ENGLISH, CIVICS, GEOGRAPHY na BIOLOGY
Kwa wanafunzi KIDATO CHA I-VI
-WANAORUDIA MITIHANI
-WALIOKO SHULENI na
-QT
Tupo
Kinondoni mkabala na...
Samahani kwa kuleta mada ambayo si mahala pake,ila kwa kuzingatia aina ya watu katika jukwaa hili. Mimi ni kijana niliyehitimu elimu ya kidato cha Sita mwaka ningependa kufahamu mbadala wa kupata...
Sasa naanza kuamini HESLB lilikua ni bom llilotegwa linasbr kulipuka, boom hili lilisubiri uchaguzi uishe ndo lilipuke, Nakwer limeripuka na NOT SECURED limekumba watu wengi, ACHA WATU WAISOME NAMBA
Mimi ni kijana wa miaka 23 katika maisha yangu nilitaman kuwa IT sku moja ila kutokana na familia nkaambulia ualimu wa msingi sasa nauliza naweza soma hicho kitu maana nilipata four 26 mwaka 2010...
Habari wakuu
nimelogin kwenye account yangu heslb wananiambia sijajaza baadhi ya sehemu Kama form 4 sitting Na sehem nyingine lakini nikiingia zinaonyeshwa zimejazwa sasa nashindwa kuelewa tatizo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.