UDSM rudisheni pesa za watoto wa kimasikini mlozipokea

UDSM rudisheni pesa za watoto wa kimasikini mlozipokea

Mzee Mchopu

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2014
Posts
1,031
Reaction score
268
Habarini za asubuhi wakuu
Kwa unyenyekevu kabisa nimeamua kuandika hapa kwa hisia za ndani ya nafsi kwani jambo hili linanigusa mimi na kundi kubwa sana la wanafunzi waliosoma diploma mbali mbali hapa nchini.

UDSM kama taasisi kuna taratibu zake ambazo imejiwekea na wala si T.C.U WALA NACTE.
Wenye uwezo wa kutengua au kuilazimisha UDSM ifanye taratibu fulani (ipo juu ya hizo taasisi)

Sasa nijielekeze kwenye swala la msingi

UDSM kama taasisi kuna waombaji wenye diploma waliopangiwa na TCU kusoma udsm kwa sababu walikua na vigezo vya kusoma shahada watakazo

ILA UDSM iliwakataa wanafunzi hao na mbaya zaidi imewakataa dakika za lala salama wakiwa wanatoa 8 round
Na kibaya zaidi wamewakata majina yakiwa yameshapelekwa BODI YA MIKOPO HIVYO BODI ya mikopo kulazimika kuipeleka mikopo hivyo hivyo kwa sababu bodi ya mikopo hawapangii mtu mkopo

SASA NARUDI KWENU NYIE UDSM

KAMA WANAFUNZI MLOLETEWA MKAONA HAWAJAKIDHI VIGEZO VYENU

KWANINI NA HIZO PESA ZAO MSIZIKATAE NA KUZIRUDISHA MAPEMA
ILI WAPELEKEWE HUKO KWENYE VYUO VINGINE VILIVYO WAKUBALI

KWA HIYO TUNAWATAKA UDSM MRUDISHE PESA ZA WATOTO WA KIMASIKINI MLOWAKATAA

Au mnataka muwachafulie HESLB waonekane hawawezi kazi
 
Habarini za asubuhi wakuu
Kwa unyenyekevu kabisa nimeamua kuandika hapa kwa hisia za ndani ya nafsi kwani jambo hili linanigusa mimi na kundi kubwa sana la wanafunzi walosoma dipoloma mbali mbali hapa nchini

UDSM kama taasisi kuna taratibu zake ambazo imejiwekea na wala si T.C.U WALA NACTE.
Wenye uwezo wa kutengua au kuilazimisha udsm ifanye taratibu fulani (ipo juu ya hizo taasisi)

Sasa nijielekeze kwenye swala la msingi

Udsm kama taasisi kuna waombaji wenye diploma waliopangiwa na TCU kusoma udsm kwa sababu walikua na vigezo vya kusoma shahada watakazo

ILA UDSM iliwakataa wanafunzi hao na mbaya zaidi imewakataa dakika za lala salama wakiwa wanatoa 8 round
Na kibaya zaidi wamewakataa majina yakiwa yameshapelekwa BODI YA MIKOPO HIVYO BODI ya mikopo kulazimika kuipeleka mikopo hivyo hivyo kwa sababu bodi ya mikopo hawapangii mtu mkopo

SAAA NARUDI KWENU NYIE UDSM

KAMA WANAFUNZI MLOLETEWA MKAONA HAWAJAKIDHI VIGEZO VYENU

KWANINI NA HIZO PESA ZAO MSIZIKATAE NA KUZIRUDISHA MAPEMA
ILI WAPELEKEWE HUKO KWENYE VYUO VINGINE VILIVYO WAKUBALI

KWAHYO TUNAWATAKA UDSM MRUDISHE PESA ZA WATOTO WA KIMASIKINI MLOWAKATAA

au mnataka muwachafulie heslb waonekane hawawezi kazi

MKUU,
SIKU INGINE APPLY #TEKU ,

HATA IWE VIPI HAWATOKUKATAA!

Trust Me.
 
Hawajafanya jambo la kiungwana... Lakini bado nina tupia lawama kwa TCU... Huwa hawazingatii vigezo walivyoambiwa na chuo katika kuwapanga hao wanafunzi.... Lawama hizi zimekuwa zikitolewa mara nyingi sana...
 
Ndo yameshatokea mkuu
UDSM WARUDISHE PESA BODI YA MIKOPO ILI TUIPATE MAPEMA
 
Ukishajiona tu huna cheti cha form 6 usijisumbue kuapply udsm,mara nying wao huwa wanachukua direct from school yaani form six leaver.wenye diploma wachache sana huwa wanabahatika kupata admission pale,wako tayari wakachukue direct from school kutoka uganda na rwanda lakini sio kuchukua mtu wa diploma kutoka tanzania na sijui lengo lao huwa ni nini.
 
Warudishe pesa gani? Chuo hakipewi pesa zozote kwa kuletewa wanafunzi! Unalipa pale unapofanikiwa kupata udahili. Kama hujapata udahili na una mkopo unabaki bodi ya mikopo.
UDSM wamekuwa wakijibu haraka sana kila majina yanapopelekwa. Majina yaliyokataliwa mwishoni yalichelewa sana kupelekwa chuoni.
 
Hawajafanya jambo la kiungwana... Lakini bado nina tupia lawama kwa TCU... Huwa hawazingatii vigezo walivyoambiwa na chuo katika kuwapanga hao wanafunzi.... Lawama hizi zimekuwa zikitolewa mara nyingi sana...

Unlike vyuo vingine UDSM wanapochukua mtu au kukataa mtu waliopelekewa na TCU hutoa sababu. Wana display points za mwnafunzi na wakimkataa wanasema kea nini wamekataa. Na sababu kubwa ni wanafunzi kutokuwa na combination inayotakiwa au kutokufanya vizuri kwenye critical subject. Kwa mfano ukiomba statistics kama huna principle level math zaidi ya kiwango fulani wanakuacha. Ushindani wa course nyingi za UDSM huwa juu bahati mbaya hizi data zinakuwa hazipo kuwaguide wanafunzi.

Pesa ya mwanafunzi inatakiwa ipelekwe pale chuo kinapo-onyesha kimempa admission. Kabla hujawalaumu UDSM check kama kweli hela hiyo imeenda UDSM.
 
Warudishe pesa gani? Chuo hakipewi pesa zozote kwa kuletewa wanafunzi! Unalipa pale unapofanikiwa kupata udahili. Kama hujapata udahili na una mkopo unabaki bodi ya mikopo.
UDSM wamekuwa wakijibu haraka sana kila majina yanapopelekwa. Majina yaliyokataliwa mwishoni yalichelewa sana kupelekwa chuoni.

Mkuu bodi ya mikopo
Wametuambia wenyewe walipeleka pesa tayari za wanafunzi wote walopangiwa udsm sasa hiki unachosema hapa kinapingana na maelezo ya maafisa wa mikopo pale bodi mkuuu
 
Unlike vyuo vingine UDSM wanapochukua mtu au kukataa mtu waliopelekewa na TCU hutoa sababu. Wana display points za mwnafunzi na wakimkataa wanasema kea nini wamekataa. Na sababu kubwa ni wanafunzi kutokuwa na combination inayotakiwa au kutokufanya vizuri kwenye critical subject. Kwa mfano ukiomba statistics kama huna principle level math zaidi ya kiwango fulani wanakuacha. Ushindani wa course nyingi za UDSM huwa juu bahati mbaya hizi data zinakuwa hazipo kuwaguide wanafunzi.

Pesa ya mwanafunzi inatakiwa ipelekwe pale chuo kinapo-onyesha kimempa admission. Kabla hujawalaumu UDSM check kama kweli hela hiyo imeenda UDSM.

Mkuu tumeenda bodi tumeambiwa kuwa pesa za watu wote include na sisi imeenda udsm
 
Kiuharisia udsm wamefanya mambo ya ajabu sana mtu umemkataaa kwa nini ung'ang'anie pesa yake ?Mimi pia nimuhangwa wa hilo nawaomba udsm mrudishe pesa haraka za watoto wa masikini kwani tunateseka sana mheshimiwa jpm na kuomba uingilie kati kama mlitukataa kwa nini pesa yetu hamrudishi ?Nyie mnatakiwa mchukuliwe hatua hamjui Sera ya muheshimiwa ni kaz tu?
 
Back
Top Bottom