Meeting for the continuing students who missed the loan from HESLB

Meeting for the continuing students who missed the loan from HESLB

fieldmashal

Member
Joined
Nov 22, 2015
Posts
78
Reaction score
3
It is better to meet here and discuss what to do with this matter remember the rich man's fate does not stink, you never know the tragedy till you have tried no one knows your safferings rather than you the victim!
 
Mpaka sasa hivi mkuu,tupo kwenye ofisi ya HESLB,tunasubiri hatima yetu kimasomo..kwakweli hali si nzuri,nyuzo za tuliowengi zinaonyesha hudhuni.
 
Mwenye information kuhusu continues walioomba mkopo coz mpaka sasa kimya Sijui kama wametusahau au la, loan officer mpaka sasa hajapata majina.
 
Imetoka batch ya 5 nimesikia Niya continuous student ila ukingia inakufungulia mwisho batch 4 batch ya 5 haifunguki, Mara nasikia loan officer ndiye atakaye tutangazia yakitoka. Xaxa nimebaki njia panda huku penalty ya kuchelewa kulipa ada ikinyemelea.duuuuuu!!!!!
 
Daaaaah sijui nimtafute Mh Majaliwa nikamfikishie kilio chetu maana nahisi Mh Magufuli kazidiwa na wingi wa issues mezani kwake.Na BODI wanadharau hao!
 
Do yan ni tabu tupu

Jamani mimi niko tayari kufa kwa manufaa ya wengi naombeni kwa yeyote yule anayemiliki bunduki anipe kesho niingie bodi ya mikopo pale mwenge nikafanye kazi za kijeshi najuwa ata wakibahatika kuniuwa mimi ninyi ndugu zangu mtakaobaki watawapa mkopo kupitia kifo changu naomben sapoti yenu nifanye kazi.
 
Daaaaah sijui nimtafute Mh Majaliwa nikamfikishie kilio chetu maana nahisi Mh Magufuli kazidiwa na wingi wa issues mezani kwake.Na BODI wanadharau hao!
Hili la dharau lipo kwa baadhi ya maafisa.
 
wadau napenda kuuliza mimi nimeambiwa nilipie %25 ya mkopo ndipo nipewe nakiangalia mwaka 2011 sikutumiaka huo mkopo sasa nifanyaje
 
j3 bila kukosa continuing students tulo mis mikopo tukapate majibu ya kina kama hawana basi tutaenda mbele ambko tutapewa majibu ya kina #saut za wengi ni sauti za mungu
 
Back
Top Bottom