Madihani
JF-Expert Member
- Apr 30, 2015
- 6,325
- 7,533
Habari Jf,, Watumishi wengi wa sekta ya elimu(WAALIMU) wapo hivi:
🙊wambea kupitiliza
🙊majungu ya kijinga
🙊kukuchomea yeye haoni shida
🙊kuombeana vikwazo sana
🙊dharau wa degree anajiona bora zaidi ya wa diploma, wa diploma anajiona bora zaidi ya cheti na wa cheti hujishusha mwenyewe
🙊wanafki wengi unaweza ukafanya jambo wakakukwamisha
🙊wengi tuwazungumzaji sana kuliko vitendo
🙊Halafu kunakitu tuna sahau,katika idara ya utumishi sisi kada ya ualimu tupo wengi sana ila kwanini hatufanikiwi????
🙊ADUI WA MWALIMU NI MWALIMU mwenzie
🙈Share ujumbe huu kwa waalimu wengine ili wajitambue