Nikiwa bweni la Kimweri ground floor pale Sengerema sec. Rais Magufuli alinipiga fimbo tatu kwa kosa la kutokwenda darasani.. Niliona kama amenionea.
Kwa wale mliopita Sengerema mnajua mazingira ya pale hasa kwa wale wa miaka ile ya Rais Magufuli, shule ilikuwa ya kibabe na bila ubabe Sengerema husomi.
Namkumbuka Chaka Erea na matumizi yake, namkumbuka mwalimu Furaha alikuwa rafiki sana wa Magufuli, namkumbuka Mwabaruhi. Mnakumbuka soko mjinga?! Rais Magufuli kanikumbusha mbali sanaa.
Sekondari ya Sengerema imejengwa mlimani.. Endeleeni kutupieni mnachokumbuka pale!