Nimepitia ile Guide ya TCU na website yao, lakini sijafanikiwa kuona tarehe ya mwisho ambayo ndio mfumo wa udahili wa pamoja utafungwa kwa wanao taka kuomba. Anaefahamu atujuze.
Nimeingia online regostration ya NACTE but sijaona guide book ya teachers colages , please mwenye nayo naomba sana , naomba aprovide attachent hapa, please kama unayo naiomba as fast as possible...
Msaada kwa huyu binti ambaye hajapata selection ya form five wala NACTE wakati ana div III.25. Namba take ya mtihani ni S4279/0029 tatizo liko wapi?
Je aki apply tena atachajiwa pesa ya kutuma...
habari za jumapili wadau, hasa walio soma shule ya AZABOY, nikiwa miongoni mwa walio soma, shule ninaendelea kusikitika kwa matokeo ya shule hii kongwe na ya vipaji ambayo inaelekea sasa kuitwa...
Inawezekana kufanya transfer ya chuo na faculty kwa wale tuliochaguliwa na nacte course za afya mfano diploma in pharmaceutical science kwenda diploma ya clinical medicine
Unakuta chuo ni cha serikali kabisa alafu ada na michango mingine unalipa kwa Dora (usd ) na bado serikali ndo wakwanza kuwapiga mkwala Kampala international university!
Habari ndg zangu
Kuna mdogo wangu namfanyia application za chuo kikuu. Huyu dg alikosa credi tatu o level akaresit akapata C, B, B kwa masomo yote matatu aliyoresit, form six amepata two ya point...
QUALITY BUSINESS SOLUTIONS CO .LTD kampuni hii inashughulika na uuzaji wa Tally.Erp9 accounting software kwa kuuza Tally.Erp9 kwenye makampuni mengine.Makampuni karibu yote yanayonunua...
Wakuu naomben kufahamu utofauti kati ya ordinary diploma na higher diploma na pia kivip baadhi ya kozi huchukua muda wa miaka miwil na nyngne mwaka mmoja..nawasilisha
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUFUNGULIWA KWA MFUMO WA UDAHILI WA PAMOJA (CAS) UNAORATIBIWA NA BARAZA LA TAIFA LA ELIMU YA UFUNDI (NACTE) NA KUTANGAZWA KWA MAJINA YA WAOMBAJI UDAHILI WALIOCHAGULIWA...
Amani na iwe kwenu wana ukumbi...
Hali yote nimshukuru mwenyezi mungu mwingi wa rehema kwa kuniwezesha kuandika hiki.
Naomba msaada kwa anaye kifahamu chuo cha kilimo na mifugo (LITA -TENGERU...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.