Msaada kidogo

Msaada kidogo

SJB

Member
Joined
Jul 2, 2016
Posts
30
Reaction score
8
Wakuu naomben kufahamu utofauti kati ya ordinary diploma na higher diploma na pia kivip baadhi ya kozi huchukua muda wa miaka miwil na nyngne mwaka mmoja..nawasilisha
 
!
!
Ordinary Diploma ni NTA6 wakati Higher Diplima ni NTA7. Zamani kabla ya 2010 hii higher Diploma ilijulikana kama Advanced Diploma.
 
Nashkur ila kwa mm nahitaj kusomea diploma mwaka huu ila nashindwa kufaham fika katka koz ambayo nahitaj kusomea nichague koz which is written ordinary or higher diploma hapo ndo kuna shida mkuu
 
Back
Top Bottom