Omax oppa Member Jun 4, 2016 49 40 Jun 5, 2016 #1 Wakuu naomba kuuliza nimeapply community health tar29/4 mwaka huu je hivi ni mwezi wa ngapi majina yatatangazwa kwa walio chaguliwa.
Wakuu naomba kuuliza nimeapply community health tar29/4 mwaka huu je hivi ni mwezi wa ngapi majina yatatangazwa kwa walio chaguliwa.
yohana enock New Member May 9, 2016 4 0 Jul 24, 2016 #2 Habar za mduu wadau naomba kuuliza et majina ya walio omba vyuo vya serikali afya yametoka??
james96 Member Apr 24, 2015 58 14 Jul 24, 2016 #3 Yameshatoka nenda nacte.go.tz kaangalie profile yako.