KOZI YENYE AJIRA.

KOZI YENYE AJIRA.

Erick Nyoni

Member
Joined
Jul 20, 2016
Posts
7
Reaction score
1
QUALITY BUSINESS SOLUTIONS CO .LTD kampuni hii inashughulika na uuzaji wa Tally.Erp9 accounting software kwa kuuza Tally.Erp9 kwenye makampuni mengine.Makampuni karibu yote yanayonunua Tally.Erp9 hawajui namna ya kuitumia. Kwa hiyo wanawasiliana nasi ili tuwape vijana ambao wanajua kuitumia Tally.Erp9.QUALITY BUSINESS SOLUTIONS CO.LTD ndani yake tuna TRAINING ambayo inaitwa QBSCL TRAINING COLLEGE rasmi kwa kufundisha kozi nzima inayohusiana na Tally.Erp9 lengo ni kuwasaidia vijana ili wapate ajira.kozi ni mwezi mmoja na nusu kwa steji ya mwanzo bei 200000/=na steji ya pili ambayo ni ya mwisho nayo ni miezi 2 bei ni sh.400000/=.Ukimaliza tunakupeleka moja kwa moja ukafanye kazi kweye kampuni ambazo sisi tunafanya nazo kazi.tupo KARUME/SHAURIMOYO.kwa mawasiliano tupigie namba 0737226429 au 0714777211.
 
Back
Top Bottom