Msaada Jinsi ya kulogin kwenye CAS website ya TCU

viva ethan

Member
Joined
Jul 30, 2013
Posts
17
Reaction score
2
Nashindwa kulogin profile yangu tafadhali mwenye hiyo link ya CAS,Naomba anisaidie
 
fungua website ya tcu nenda sehem ya registration click it then select undergraduate,click it,ingiza No.yakl ya form 4 na mwaka wa kumalza hiyo ndio user name yako kisha enter password then login,profile yako itafunguka
 
asante
 
Mkuu mimi nimeshajiregister sasa nikalogout
Sasa hivi kila nilitaka kulogin ina goma sijui tatizo ni nini?
 
angalia kama umekosea kuingiza index number au password.. ikiendelea kukataa bonyeza sehemu ya forgot password af fata instructions.
 
Nimebonyeza hapo forgot password lakini naambiwa transaction ID not exist wakati kipindi najisajili ilikubali vizuri tu.
 
ulivyobonyeza forgot password ilikwambia uingize index number au email?
 
Dah wakuu me nauliza diploma holders wanaanza kua apply lin kwenye system ya TCU? na kuna wale ambao waliomba mwezi wa tano, hatima yao iko vip wakuu?!
 
diploma waliojirejista mwezi wa tano TCU watatoa mwongozo wataapply vipi, na kuapply kwa wale wenye diploma inaanza tar 31 mwezi huu
 
Naomba mkuu unisaidie kwa hili kwa sababu nimeona kama ww ni mzoefu kidogo hivi ukisha maliza kuprint huruhusiwi kubadilisha tena vyuo na je baada ya kuchagua vyuo hamna sehemu pa kusubmit au kukomfirm au ndio tunaacha vilevile??
 
Back
Top Bottom