Crispin sam Member Joined Oct 27, 2015 Posts 49 Reaction score 5 Jul 24, 2016 #1 Kati ya DIT , ATC na MUST kipi ni chuo kizuri kwa diploma ya engineering ?!
SODOKA JF-Expert Member Joined Sep 15, 2012 Posts 1,654 Reaction score 724 Jul 24, 2016 #2 vyote bomba kasome engineering lakin imekaa kinjaa sana bora ungepga afya utanikumbuka