Ni chuo gani naweza kujiunga ngazi ya diploma kama nina division IV ya form four?

Athumani kinglop

New Member
Jul 21, 2016
3
0
Mm ni muhitimu wa kidato cha nne mwaka jana na nimepata div. IV ya 26 ninatafuta vyuo vya ualimu vya kujiunga, lakini vyuo vingi wanasema wanapokea mwisho div. III je, hakuna chuo ambacho kinatoa mafunzo ngazi ya cheti na kinatambulika na serikali ili nikajiunge nacho ili niweze kujiunga na diploma? Tafadhali anayekijua chuo husika anijuze wakuu.
 
kama ukiweza ungerisiti ili upate credit za kuwa na sifa za kwenda ualimu. Sasa hivi vyuo vinafuata vigezo vya NACTE, rudia mitihani usichoke
 
Wakuu Nimesikia kwamba NACTE wamefuta ngazi ya certificate kwa teaching lakini kuna baadhi ya vyuo vinaendesha short course kwa wenye 4 ili kujiunga na diploma ni kweli? Kama ni kweli ni chuo kipi kwa hapa dar maana sivifahamu vyema vyuo vya ualimu, tafadhali!
 
Back
Top Bottom